Tottenham Hotspurs Thread

Tottenham Hotspurs Thread

Hueleweki.
Hii ni Spur amabyo ndiyo hiyohiyo iliyomtandika Madrid hapo Wembley, kwahiyo hawatashindwa kumnyoosha juventus hapo Wembley. Huwezi fananisha ujinga walioufanya spur wakasababisha goli mbili za mwanzo na uchezaji walioucheza
Spurs ndio walicheza mpira. Baada ya kupigwa lile goli la pili la penalt, upande wa spurs ndo ulikuwa umefikia ukingoni kuweza kushinda. ila waliweza kucheza kandanda na kuudi katika gemu.
Spurs waliweza kuwachezesha jamaa nusu uwanja na jamaa walikuwa kwao.

Asante sana kwa utabiri wako mzuri
 
UEFA ni special kwa Mabingwa tu Sio kwa Team ndogo kama Spurs Kabla hamjawaza kushinda UEFA wazeni kwanza kushinda Carabao cup.
 
Refa ni wa nani? na nani amekoma? maana kutoka kufungwa 2 bila mpaka 2-2, inamaana droo ya 0-0 tot kapita droo ya 1-1 tot kapita droo ya 2-2 extra time, kiufupi mwenye asilimia kubwa ya kuvuka ni TOT.

Refa bado kawabeba leo milkuwa mnywe 3-1
 
Back
Top Bottom