SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
Ngoma ya kitoto haikeshi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
To dare is to Do.
Hueleweki.
Hii ni Spur amabyo ndiyo hiyohiyo iliyomtandika Madrid hapo Wembley, kwahiyo hawatashindwa kumnyoosha juventus hapo Wembley. Huwezi fananisha ujinga walioufanya spur wakasababisha goli mbili za mwanzo na uchezaji walioucheza
Spurs ndio walicheza mpira. Baada ya kupigwa lile goli la pili la penalt, upande wa spurs ndo ulikuwa umefikia ukingoni kuweza kushinda. ila waliweza kucheza kandanda na kuudi katika gemu.
Spurs waliweza kuwachezesha jamaa nusu uwanja na jamaa walikuwa kwao.
Chama LA wana neck week bib anakaaa lainii
amazing performance toka Tottenham,,, mababu Leo wamepoteana,,, kwa mpira huu wa Juventas,,, Wembley watakufa mapema tu
Dembele ....nawaza sana kama nyavu zingelikuwa zinacheka na yeye kila saa sijui na sipendi kujua ....
Ni uwezo hatutegemei refa na Turin tumemlindia heshima tunamsubiri wembley
Refa ni wa nani? na nani amekoma? maana kutoka kufungwa 2 bila mpaka 2-2, inamaana droo ya 0-0 tot kapita droo ya 1-1 tot kapita droo ya 2-2 extra time, kiufupi mwenye asilimia kubwa ya kuvuka ni TOT.
UEFA ni special kwa Mabingwa tu Sio kwa Team ndogo kama Spurs Kabla hamjawaza kushinda UEFA wazeni kwanza kushinda Carabao cup.