Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Mzee wa kuvizia aka Harry Keane
umenielewa sasa?Hueleweki.
Hii ni Spur amabyo ndiyo hiyohiyo iliyomtandika Madrid hapo Wembley, kwahiyo hawatashindwa kumnyoosha juventus hapo Wembley. Huwezi fananisha ujinga walioufanya spur wakasababisha goli mbili za mwanzo na uchezaji walioucheza
Spurs ndio walicheza mpira. Baada ya kupigwa lile goli la pili la penalt, upande wa spurs ndo ulikuwa umefikia ukingoni kuweza kushinda. ila waliweza kucheza kandanda na kuudi katika gemu.
Spurs waliweza kuwachezesha jamaa nusu uwanja na jamaa walikuwa kwao.
natazama UCL tangu 1994.Nawatazama spurs miaka nenda rudi.Nawatazama Juve tangu 96 wakimpiga Ajax mikwaju ya penati.Nadhani umeanza kuangalia game za spurs hii hatua ya 16 bora Ila hujajua ubora wa spurs we subiri mkuu hadi final tupo Ila hatuvumi.
Duh kumbe tangu 2009Jee hii thread imeanzishwa lini?
Carabao kachukua City mkuu, ahsante kwa utabiri wako pia.Bye bye UCL
Kombe lenu ni Carabao tu
wewe ulitaka man u tu?Hivi Spurs nayo ina thread?
Naona unauzuni Sana kuwatoa pale juu kwenye msimamo Wa league. Si haba na unatamani Sana Kane apate injury kubwa kutokana na game ya Jana.
Huyu ndugu yangu Kama Si dugu Wa Wenger basi bahati maana alikuwa anatuombea njaa kila sikuCarabao kachukua City mkuu, ahsante kwa utabiri wako pia.
Subiri mkuu mpira uwanjani na sioni mnapoenda kuwabahatisha hawa watoto Wa Portugal goal 5 usidhani ndio mmemaliza. Fc porto Si wale Wa kipindi lile hadi mkawafumua kiasi kile.Sasa Ndiyo Mjue Kuwa Munapocheza Mechi Kubwa Kama Hizi muwe Munamchukua John Moss Akakae Referee!
Halafu muwe munafanyia Mazoezi Zile Diving Zenu.
Na Harry Kane aongeze Mazoezi Zaidi ya Kuotea...
Halafu Mushauriane Mufungua Pale London Kwenye Oxford University mufungue SCHOOL OF DIVING ili kina Harry Kane, Eric Lamela na Delle Ali Wakaongeze Doctor Of Philosophy in Diving.
Kwa Taarifa Yenu Maisha Kombe lenu Litakuwa ni Top Four, lakini Champion League Katu hamtovuuka Hata Robo Fainali.
Nimerudi Leo baada ya machungu kupungua kidogo.Higuain
Karibu jamviniDuh kumbe tangu 2009