EZZ CHEZZ
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 1,230
- 1,352
Defense inapwaya kweli. Tatizo liko kwenye full backs kuanzia kulia kwa anko kidevu hadi kushoto kwa dogo Ssesegnon. Udhaifu wao huwafanya mabeki wa kati pia kupwaya. Ni matarajio kuwa dirisha kubwa litatumika kuziba hiyo mianya.Kikosi ni cha kuimarisha, defence bado haijatulia, ila kwa sasa hatuna mshambuliaji anayeeleweka baada ya Harry kuumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka sasa nafikiri kikosi kitahitaji wachezaji wafuatao kunako dirisha la usajili;
Striker (back up ya Kane)
Holding midfielder (Dier asipobadilika)
RB (upgrade ya uncle kidevu)
Sent using Jamii Forums mobile app