EZZ CHEZZ
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 1,230
- 1,352
Idara ya ulinzi (back line)
CD. Hapa hatuna shida. Tuna hazina kubwa. Toby, Vertongen, D. Sanchez, Tanganga, na Foyth.
LB hapo pia sioni shida. Option ziko nne. Ryan Sessegnon, Davies, Vertongen na Dany Rose.
RB. Hapa pana shida. Mbali na kutolinda vizuri huwa panatoa "zawadi" nyingi kwa wapinzani. Na mtoaji si mwingine bali Serge Aurier. Hapa ni lazima atafutwe proper RB design ya Pereira wa Leicester au Diogo Dalot wa United ili kupata upgrade ya Aurier atakayekuwa back up. Kutegemea Tanganga ataziba pengo si sawa.
Nategemea City kuwa na wakati mgumu game ijayo kwa simple 4 3 3;
Golini panaeleweka.
Back four: Vertongen - Toby - Sanchez - Aurier/Tanganga
DM: Fernandez - Dier - Ndombele
Attacking three: Son/Bergwijn - Moura - Lamela
Sent using Jamii Forums mobile app