Tottenham Hotspurs Thread

Tottenham Hotspurs Thread

Idara ya ulinzi (back line)

CD. Hapa hatuna shida. Tuna hazina kubwa. Toby, Vertongen, D. Sanchez, Tanganga, na Foyth.

LB hapo pia sioni shida. Option ziko nne. Ryan Sessegnon, Davies, Vertongen na Dany Rose.

RB. Hapa pana shida. Mbali na kutolinda vizuri huwa panatoa "zawadi" nyingi kwa wapinzani. Na mtoaji si mwingine bali Serge Aurier. Hapa ni lazima atafutwe proper RB design ya Pereira wa Leicester au Diogo Dalot wa United ili kupata upgrade ya Aurier atakayekuwa back up. Kutegemea Tanganga ataziba pengo si sawa.

Nategemea City kuwa na wakati mgumu game ijayo kwa simple 4 3 3;

Golini panaeleweka.

Back four: Vertongen - Toby - Sanchez - Aurier/Tanganga

DM: Fernandez - Dier - Ndombele

Attacking three: Son/Bergwijn - Moura - Lamela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yamesalia masaa machache tu kabla dirisha dogo halijafungwa. Spurs wana nafasi moja tu ya mchezaji mpya anayeweza cheza UCL msimu huu endapo watasajili. Nafasi za wachezaji wapya Januari ni 3 na tayari mbili zimezibwa.

Je unadhani ikiwa bado watasajiri wamsajili mchezaji gani? Awe Striker au winger? Maana kuna tetesi wanataka kumrudisha Bale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Striker anayeeleweka

Nafasi mbili zimezibwa na nani mkuu january hii? Nani wamesajiliwa january hii na spurs?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafasi mbili zimezibwa na nani mkuu january hii? Nani wamesajiliwa january hii na spurs?

Sent using Jamii Forums mobile app
Gedson Fernandes na Steven Bergwijn wamechukua nafasi mbili. Le Celso tayari alikuwamo. Taratibu za UCL zinataka timu iwe na ukomo wa majina 17 ya wachezaji wa kigeni (waliolelewa nje ya ligi husika).

Na kwa dirisha dogo la Januari timu inaweza sajili majina mapya matatu tu na kuyajumuisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
#COYS

Leo ni mtanange na #wananchi wa Manchester na wanakuja kwenye dimba bora zaidi la soka ulimwenguni. Natarajia wataondoka na kipigo japo chembamba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndiyo shida ya kushabikia timu ya Mourinho. Ndiyo unajua mtashinda ila hujui mtashindaje. Ukiwa na hisia kali unaweza pata pressure.

Natarajia mchezo ujao arejee kwenye 4 - 2 - 3 - 1. Ila formation kama ile ya jana tukifika robo fainali itakuwa kioo.

Next on FA : Norwich (H).

Hawa mapema tu, hatuhitaji replay.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom