Defense inapwaya kweli. Tatizo liko kwenye full backs kuanzia kulia kwa anko kidevu hadi kushoto kwa dogo Ssesegnon. Udhaifu wao huwafanya mabeki wa kati pia kupwaya. Ni matarajio kuwa dirisha kubwa litatumika kuziba hiyo mianya.Kikosi ni cha kuimarisha, defence bado haijatulia, ila kwa sasa hatuna mshambuliaji anayeeleweka baada ya Harry kuumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe cv ya huyu aliyesajiliwa
Naona fundi anaendelea kusuka kikosi. Sasa ni dhahili spurs haitasajili striker kunako summer baada ya Troy Parrot kumwaga wino mpaka 2023.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijafuatilia sana uwezo wa huyu Parrot, ila Spurs wanapaswa wawe na anayeeleweka, ikiwezekana siyo awe mbadala wa Harry Kane ila watakaoweza kucheza kwa pamoja
Naona fundi anaendelea kusuka kikosi. Sasa ni dhahili spurs haitasajili striker kunako summer baada ya Troy Parrot kumwaga wino mpaka 2023.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu dogo mafanikio yake yatategemea zaidi uwezo wa Spurs kuua mchezo mapema ili awe anapata dk 15 au 20 za kumjenga. Ni back up nzuri ya Harry Kane. Tatizo la Mourinho ni kuwa timu zake haziui mchezo mapema.Sijafuatilia sana uwezo wa huyu Parrot, ila Spurs wanapaswa wawe na anayeeleweka, ikiwezekana siyo awe mbadala wa Harry Kane ila watakaoweza kucheza kwa pamoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu bado tunashinda kwa shida na bahati, leo defence haikuwa nzuri, Sanchez, Alder na bwana kidevu hawakuwa makini vizuri, bwana kidevu kama alikuwa more attacking kuliko kulinda, holding midfield ni kama hakuna kitu, kwa hawa attacking midfielders katika kumaliza bado kuna shida, Dele na Son wamekosa magoli mengi, tungekuwa na pure stricker pengine magoli yangeanzia matatu.Lukas Moura apunguze kukaa na mpira mguuni.Huyo ndiye Mourinho bwana! Anaweza-kushindia hata vita. Siyo mbaya. Tuliwazidi wapinzani kwa mbinu, malengo na bahati. Wamecheza soka safi lakini ndiyo hivyo JM akinyoa nywele jua kaingia vitani na ni lazima apate anachotaka (kumaliza top 4).
Kuhusu Eric Dier.
Nadhani huenda kocha akaishiwa uvumilivu akamtosa kunako dirisha lijalo au akalazimika kutafuta holding midfielder mwingine. Kijana bado ana safari ndefu. Kiungo cha ukabaji kinakufa kabisa anapokuwa uwanjani. Uhai unarejea akitoka.
Big up kwa #Champion boy wetu Samagoal kwa kusababisha goli la kwanza.
#COYS
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah timu zingine bhana....kumbe nazo zina supporters bongo.
#LondonIsRed
Kamevunjika mkono saa ngapi hako kajamaa maana nimekaona uwanjani mpaka dakika ya mwishoSonic atafanyiwa upasuaji baada ya kuvunjika mkono kwenye game ya Aston Villa na atakuwa nje kwa wiki kadhaa (huenda ikawa mpaka mwisho wa msimu).
Sad.
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu yenu bado changa sana kushindana na wababe wa London.... Jogoo ni liverpool tu wengine hen tu...Mtulie wanaume ndo tunaamka... Kazi ya spurs ni kuleta ushindani London na EPL kwa ujumla... Makombe hata ya uji hakuna.Pole sana my friend. Hivi nyie reds mna peoject gani ya kuwarudisha kwenye level za ushindani? Kwa sasa hakuna timu ya London ya kushindana na jogoo kwa namna yoyote ile (angalau Chelsix wametuzidi pointi moja kwa muda).
We are taking over man.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sonic atafanyiwa upasuaji baada ya kuvunjika mkono kwenye game ya Aston Villa na atakuwa nje kwa wiki kadhaa (huenda ikawa mpaka mwisho wa msimu).
Sad.
Sent using Jamii Forums mobile app
unaandika pumbaSpurs japo wanapata ushindi kwa tabu. Hawapo vyema sana namuona kwenye nafasi ya saba au Tisa msimu huu
Mourinho
Ukiona natema pumba basi juha shabiki kukuunaandika pumba
Aliumia mwanzoni kabisa mwa mchezo ila inaonesha hakuwa na maumivu makali.Kamevunjika mkono saa ngapi hako kajamaa maana nimekaona uwanjani mpaka dakika ya mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunakutunzia hii post mkuu.Timu yenu bado changa sana kushindana na wababe wa London.... Jogoo ni liverpool tu wengine hen tu...Mtulie wanaume ndo tunaamka... Kazi ya spurs ni kuleta ushindani London na EPL kwa ujumla... Makombe hata ya uji hakuna.
#LondonIsRed.