Tottenham Hotspurs Thread

Naomba mtaalamu mmoja hapa aniambie angekuwa yeye ndiye kocha angepangaje kikosi kwenye game ya leo vs Chelsea, bila ya Son & Kane!

Kwa anayeijua Spurs kwa 6-7 iliyopita anajua ni ngumu sana kwa Spurs kucheza mpira wa kueleweka kwani timu imejengwa around hao wachezaji wawili.

Hiyo ndiyo sababu Spurs haijawahi kushinda mechi isiyohusisha moja ya hao wachezaji tangu 2014!

Jumla ya magoli ya Son na Kane ni zaidi ya mara mbili ya wachezaji wengine wote wa Spurs msimu huu pamoja na majeruhi na "umeme" aliokula Son roundi ya kwanza.

Kwenye game ya leo asilimia kubwa ya wachezaji wamecheza nafasi zisizo za kwao kwa sababu kikosi hakina balance.

Kwa anayejua mpira anajua makocha wakubwa yaani Guadiola, Klopp na Mourinho huwa hawajengi timu kuzunguka mchezaji mmoja na hivyo hiyo ndiyo kazi kubwa aliyonayo Mourinho. Kuijenga upya Spurs iwe timu inayojielewa kama City au Liverpool.

Mourinho apimwe msimu ujao siyo sasa. Kwa sasa hakuna kocha zaidi yake anayeweza kipeleka kile kikosi top four.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Come On You Spurs.

Jana tumepokea kipigo nyumbani. Timu iliweza kutengeneza nafasi ila defense ikaendelea kuwa uchochoro.

Ni dhahili sasa ndoto za top four zinazidi kufifia. Ngoja tusubiri tuone.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…