Tottenham Hotspurs Thread

Tatizo D sanchez mapepe sana. Hachelewi kuplay against us. Phil jones wa spurs.
 
Sanchez naye hakawii kuchomesha, huwa simwamini kivile. Ila Tottenham waboreshe hizi beki naona siyo solid vya kutosha.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
kwa mpira wa kisasa Jose atapata shida sana EPL muda si mrefu atagombana na wachezaji muhimu kama hii style isipoleta matokeo chanya,spurs walikosea sana kumchukua Mou kwenye squad ya spurs kwa mechi chache nilizotazama nimeona wachejaji watatu tu wataenjoy style ya ukabaji ya Jose ambao ni Hojbjerg,Sissoko na Dier hawa waliobaki ndo inabidi wafate maelekezo tu hawana la kufanya ndomaana ni rahisi kupata goli kwa spurs kuanzia dk ya 80 coz wachezaji wanakua wamechoka mno.
 
Kwanini mnafungika sana dakika za 80+

West Ham alirudisha gori 3 hizo dakika

Crysta Palace alisawazisha hizo dakika

Liverpool aliwafunga hizo dakika

Lecister aliwafunga hizo dakika

Leo, wolves kawanyanganya Point hizo dakika


Nimegundua kitu


Beki za Spurs zunakuwaga hoi sana, dakika hizo

Mbinu za morhino kupaki basi dakika zote 90 min, atakuja kuiona League ngumu


Hatakuja kuamini, timu nying zimeshamsoma


Wakipress kwa nguvu, dakika za 80 Spurs unaweza mpiga hata gori 5
 
Uko sahihi [emoji817]
 
Jose Mourinho : " I think if Tottenham wins the premier league the pain to all TV Pundit will be greater than the pandemic. They always criticize my style of play. But I have more than 25 Trophies in my life and they have only TV cameras "


Jose for you.
 
Hahahahahah[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahahahahah[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Noma sana mzazi. Mzee ana maneno hatari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ila pamoja na kutukera kwenye game kadhaa zilizopita ukweli ni kwamba ulimwengu unatarajia makubwa mno kutoka kwa Jose. Mwaka mmoja tu tena na kikosi kisicho na balance kama kile analaumiwa kwa kushindwa kuwafunga Liverpool Anfield, Wolves nyumbani kwao, droo na Chelsea iliyosajili dunia nzima darajani!

Hapo anangalia Klopp alipata nini miaka minne ya kwanza tena akiwa na kikosi bora duniani. Angalia Pep msimu wa kwanza alifanya nini pale City akiwa na first eleven mpya.

Jose ni taasisi ya ukocha.
 
Jose ni mzuri, shida ni kuna wakati ana defend hata kwenye vimechi vya kawaida. Hizi timu za kawaida ni kushambulia mwanzo mwisho, kwa zile timu kubwa ndio kucheza kwa tahahadhari kubwa.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Hello Mourinho people.

Bye bye 2020 watu wangu wa Spurs.

Happy New year 2021.

Nachukua fursa hii kuwatakia heri ya mwaka mpya wenye mafanikio tele. Tusiache kumshukuru Mungu kwa kutupatia fursa ya kuuishi mwaka 2020.

Naamini tumepata mafanikio tele 2020. Makubwa zaidi ni kupevuka kwa timu yetu kutoka timu inayocheza mpira "mzuri wa kuvutia" mpaka kuwa timu inayocheza ikiwa na wajibu wa kushinda si tu mchezo husika bali pia vikombe.

Sasa ni dhahili kuwa lengo letu kubwa tuwapo ndani na nje ya uwanja ni kushinda vikombe na si tu kucheza mpira wa kuvutia bila kikombe hata cha chai.

Kuelekea mwaka mpya 2021 nadhani Levy atatuletea walau wachezaji wawili dirisha hili la usajili. Wachezaji tunaowahitaji mara moja ili kuendelea kupigania ubingwa wa ligi kuu.

Jumamosi ni Leeds.

Tchaooo 2020

Welcome 2021

#COYS
 
Just: Hahaaa.... The Jose I know...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…