Mbeya City Spurs I
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 482
- 1,025
Haya, tumetoka bwana genius.Mnatokaa leoo vilazaa wakubwaa nyiee
Tusingepigwa ihali benchi lilikuwa limesheheni. Mechi ijayo na Everton tutawaanzishia full squad. Ancelotti tunamdai ile mechi ya ufunguzi.Mpigwe tu mtoke
Biashara za Levy ni ngumu sana na wala hazitabiriki, yaani anaweza kukomaa hata kwa ajili ya mia tano tu.Habari njema kuhusu Dele Alli. Ni kwamba PSG wanamtaka kwa udi na uvumba (kwa mkopo bila option ya kununua). Uzuri wa habari hii ni kuwa Spurs haiko tayari kumwachia bila kupata mbadala. Hivyo tafsiri ni kwamba bwana Levy anaweza kutuletea mchezaji mchezeshaji kwenye final third dirisha hili dogo.
Good news.
#COYSView attachment 1686943
Updates: Still complicated.Habari njema kuhusu Dele Alli. Ni kwamba PSG wanamtaka kwa udi na uvumba (kwa mkopo bila option ya kununua). Uzuri wa habari hii ni kuwa Spurs haiko tayari kumwachia bila kupata mbadala. Hivyo tafsiri ni kwamba bwana Levy anaweza kutuletea mchezaji mchezeshaji kwenye final third dirisha hili dogo.
Good news.
#COYSView attachment 1686943
Tunampiga mkuu.Naona sare leo
Timu yako imefika wapi?niliwaambia humu na leo narudia tena kwa mpira wa kisasa na aina ya makocha waliopo EPL kwasasa Mourinho hatowafikisha popote .
Wewe si umetika kupigwa game iliyopita??Nyie matakataka mumefungwa..
Mchezaji mliyetaka aje ni Odegaard ila akaamua kuja Arsenal. Spurs bado haijafikia hatua ya kumvutia mchezaji serious.Habari njema kuhusu Dele Alli. Ni kwamba PSG wanamtaka kwa udi na uvumba (kwa mkopo bila option ya kununua). Uzuri wa habari hii ni kuwa Spurs haiko tayari kumwachia bila kupata mbadala. Hivyo tafsiri ni kwamba bwana Levy anaweza kutuletea mchezaji mchezeshaji kwenye final third dirisha hili dogo.
Good news.
#COYSView attachment 1686943
hizo ni hasira zako wewe shabiki bado hasira za wachezaji kwa kocha, muda si mrefu utasikia wamegombana nae.Timu yako imefika wapi?
Mmmh, wewe ulisikia wapi tunamtaka huyo mchezaji!? Maana ninavyojua Arsenal ndiyo timu pekee ya Uingereza katika orodha ya timu zilizokuwa zikimuwania. Pia kwa mujibu wa Fabrizio simu ya Arteta ndiyo kitu kilimfanya abadili mawazo na kuikubali Arsenal maana alikwisha kuwa amechagua timu nyingine.Mchezaji mliyetaka aje ni Odegaard ila akaamua kuja Arsenal. Spurs bado haijafikia hatua ya kumvutia mchezaji serious.
Timu yako tutaifunga tukikutana.Nyie matakataka mumefungwa..
Kwani jana alicheza mpira gani? Wa kisasa au wa kizamani. Itunze hii comment yako kisha uifute mwenyewe siku tutakapo nyanyua ndoo kabla yako.niliwaambia humu na leo narudia tena kwa mpira wa kisasa na aina ya makocha waliopo EPL kwasasa Mourinho hatowafikisha popote .
Man kumfunga Liva kwa formation fulani haimaanishi Spurs nayo ingeweza kufanya hivyo. Hiyo 4 2 3 1 inahitaji uwe na namba 10 mzuri. Jana Mou alimuhitaji Ndombele (namba 10 wetu feki) katikati kwenye DM kuliko mbele kwenye final third. Ndiyo sababu kazi ya uchezeshaji pale mbele alitwikwa Kane.Nilivyoona formation ni 3 4 3 nikajua mnapaki basi. Kwanini mourinho hakutumia 4 2 3 1 anayocheza siku zote? Liva kafa kwa united kwa formation hiyi.
3 4 3 imeonyesha hamna mabeki wala wing backs kwa ajili ya hiyo formation, yaani pasi kwa mane na salah zilikua zinafika kirahisi mno
Kuna mabeki wanaweza jikuta wanalamba benchi.