Tottenham Hotspurs Thread

Tottenham Hotspurs Thread

Habari njema kuhusu Dele Alli. Ni kwamba PSG wanamtaka kwa udi na uvumba (kwa mkopo bila option ya kununua). Uzuri wa habari hii ni kuwa Spurs haiko tayari kumwachia bila kupata mbadala. Hivyo tafsiri ni kwamba bwana Levy anaweza kutuletea mchezaji mchezeshaji kwenye final third dirisha hili dogo.

Good news.

#COYS
Screenshot_20210126-205955.jpg
 
#COYSView attachment 1686943
Biashara za Levy ni ngumu sana na wala hazitabiriki, yaani anaweza kukomaa hata kwa ajili ya mia tano tu.
 
Habari njema kuhusu Dele Alli. Ni kwamba PSG wanamtaka kwa udi na uvumba (kwa mkopo bila option ya kununua). Uzuri wa habari hii ni kuwa Spurs haiko tayari kumwachia bila kupata mbadala. Hivyo tafsiri ni kwamba bwana Levy anaweza kutuletea mchezaji mchezeshaji kwenye final third dirisha hili dogo.

Good news.

#COYSView attachment 1686943
Updates: Still complicated.

Screenshot_20210128-081530.jpg
 
#COYS

It's match day at N17

Leo tunacheza na wale jogoo feki wa Merseyside. Hawa wagonjwa waliopigwa na Manjesta. Hawa hawa ambao katika michezo sita wamevuna pointi 3 na magoli ma3 !!!! Wameisha hawa.

Ni masaa mawili tu yajayo.
 
Kikosi 5 3 2

Hugo

Aurier, Rodon, Dier, Davies, Doherty

Hojbjerg, Ndombele

Kane

Bergwijn, Son

Wameisha hawa Livakuku
 
niliwaambia humu na leo narudia tena kwa mpira wa kisasa na aina ya makocha waliopo EPL kwasasa Mourinho hatowafikisha popote .
 
Habari njema kuhusu Dele Alli. Ni kwamba PSG wanamtaka kwa udi na uvumba (kwa mkopo bila option ya kununua). Uzuri wa habari hii ni kuwa Spurs haiko tayari kumwachia bila kupata mbadala. Hivyo tafsiri ni kwamba bwana Levy anaweza kutuletea mchezaji mchezeshaji kwenye final third dirisha hili dogo.

Good news.

#COYSView attachment 1686943
Mchezaji mliyetaka aje ni Odegaard ila akaamua kuja Arsenal. Spurs bado haijafikia hatua ya kumvutia mchezaji serious.
 
Nilivyoona formation ni 3 4 3 nikajua mnapaki basi. Kwanini mourinho hakutumia 4 2 3 1 anayocheza siku zote? Liva kafa kwa united kwa formation hiyi.

3 4 3 imeonyesha hamna mabeki wala wing backs kwa ajili ya hiyo formation, yaani pasi kwa mane na salah zilikua zinafika kirahisi mno

Kuna mabeki wanaweza jikuta wanalamba benchi.
 
Mmmh, wewe ulisikia wapi tunamtaka huyo mchezaji!? Maana ninavyojua Arsenal ndiyo timu pekee ya Uingereza katika orodha ya timu zilizokuwa zikimuwania. Pia kwa mujibu wa Fabrizio simu ya Arteta ndiyo kitu kilimfanya abadili mawazo na kuikubali Arsenal maana alikwisha kuwa amechagua timu nyingine.

Mchezaji pekee ambaye imethibitika Spurs wamewania saini yake dirisha hili ni Eriksen ili kuziba pengo la Dele Alli anayetakiwa na PSG. Kikwazo ni mshahara mkubwa wa Eriksen na ada kubwa ya mkopo wanayotaka Inter.

Kwa sasa kama kuna mchezaji ataikwepa Spurs na kwenda Arsenal ni wazi atakuwa na shida kubwa. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
niliwaambia humu na leo narudia tena kwa mpira wa kisasa na aina ya makocha waliopo EPL kwasasa Mourinho hatowafikisha popote .
Kwani jana alicheza mpira gani? Wa kisasa au wa kizamani. Itunze hii comment yako kisha uifute mwenyewe siku tutakapo nyanyua ndoo kabla yako.
 
Nilivyoona formation ni 3 4 3 nikajua mnapaki basi. Kwanini mourinho hakutumia 4 2 3 1 anayocheza siku zote? Liva kafa kwa united kwa formation hiyi.

3 4 3 imeonyesha hamna mabeki wala wing backs kwa ajili ya hiyo formation, yaani pasi kwa mane na salah zilikua zinafika kirahisi mno

Kuna mabeki wanaweza jikuta wanalamba benchi.
Man kumfunga Liva kwa formation fulani haimaanishi Spurs nayo ingeweza kufanya hivyo. Hiyo 4 2 3 1 inahitaji uwe na namba 10 mzuri. Jana Mou alimuhitaji Ndombele (namba 10 wetu feki) katikati kwenye DM kuliko mbele kwenye final third. Ndiyo sababu kazi ya uchezeshaji pale mbele alitwikwa Kane.

Formation ya jana ilikuwa sawa na timu ilicheza vizuri sana. Utakubaliana na mimi kuwa magoli yote ya Livacool yalikuwa zawadi kutoka kwa wachezaji wetu (Dogo Rodon, Dier na Kipa). Magoli amba kimsingi ndiyo yalitufanya tupoteze mchezo.

Kuhusu Mane na Mo Salah kufikiwa na pasi kirahisi wala siyo ajabu wanapocheza na Mourinho. Muhimu ni kuwa mara zote wao ndiyo wanakuwa contained na walinzi wetu hivyo kutokuwa na madhara.

Mchezo wa jana tumepoteza kwa kuwa "tuliwazawadia" wapinzani magoli. Kimbinu tulikuwa sahihi na tulicheza vizuri.
 
Back
Top Bottom