Tottenham Hotspurs Thread

Tottenham Hotspurs Thread

Di Maria hataisaidia Man U kupata kombe au top four msimu huu.
Hii timu ishakufa tayari
 
Jamani Gary Lineker sijui angefanya nini tena kwenye match of the day. ...... . . endeleeni kukomaa tu mwaka huu ingawa naona kocha wenu wa zamani alikuwa na aibu!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee eeeee

Asante kwa mwaliko Mbu!
 
Last edited by a moderator:
Mbu si umeona eeh, tunatisha, lakini uwanjani. Kuna wanaotisha kwenye pochi, unamnunua Di Maria mapesa yote haya si uchizi huu!

Di Maria huyu huyu au mwingine, kweli mtani kachemsha, lakini bora aende huko angekuwa yule babu angekuja kutubomolea timu yetu. Nendeni huko huko mkavunje rekodi ya pochi!

HAHAHAHH, Shedafa unaua Mgosi!!!!....ati? akwende zake huko huko?
ee bana, Di Maria huyu huyuuu tumjuaye aisee, mnh....mwenyewe yangu macho!
wanaendelea kuvunja rekodi bana, na hata thread yao waliokuwa wamebakia Nzi na Belo
sasa nao wameingia mitini....

wamemuacha Bulldog!!!...
 
HAHAHAHH, Shedafa unaua Mgosi!!!!....ati? akwende zake huko huko?
ee bana, Di Maria huyu huyuuu tumjuaye aisee, mnh....mwenyewe yangu macho!
wanaendelea kuvunja rekodi bana, na hata thread yao waliokuwa wamebakia Nzi na Belo
sasa nao wameingia mitini....

wamemuacha Bulldog!!!...

Wewe subiri, dawa yako ipo jikoni
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Una moyo wa jiwe ndugu yangu Bulldog!

......#WatazoeaTu hapo midtable ya EPL..... ImageUploadedByJamiiForums1408996357.471550.jpg


#MosKwito !
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
 
Nipo Mbu, ila Leicester hawakamatikiiii!
 
2016-04-21-01-18-22--1373495186.jpeg


images-8.jpeg


2016-04-21-01-20-59-1644351829.jpeg


images-12.jpeg


images-10.jpeg


images-7.jpeg


images-26.jpeg


images-22.jpeg


images-14.jpeg


images-20.jpeg


Tottenham Hotspur Football Club/commonly referred to asSpurs, is an English football club located inTottenham, London, that competes in thePremier League. The club's home stadium isWhite Hart Lane. Their newly developed training ground is in Bulls Cross on the northern borders of the London Borough of Enfield.Founded in 1882, Tottenham won the FA Cupfor the first time in 1901, making them the only non-League club to do so since the formation of the Football League in 1888. Tottenham were the first club in the 20th century to achieve the League and FA Cup Double, winning both competitions in the1960–61 season. After successfully defending the FA Cup in 1962, in 1963 they became the first British club to win a UEFAclub competition – the European Cup Winners' Cup.[4] In 1967, Spurs won the FA Cup for a third time in the 1960s. In the 1970s Tottenham won the League Cup on two occasions and were the inaugural winner of the UEFA Cup in 1972, becoming the first British club to win two different major European trophies. In the 1980s Spurs won several trophies: the FA Cup twice, FA Community Shield and the UEFA Cup in 1984. In the 1990s the club won the FA Cup and the League Cup. When they won the League Cup once more in 2008, it meant that they had won a major trophy in each of the last six decades – an achievement only matched byManchester United.The club's Latin motto is Audere est Facere(lit: "To Dare Is to Do"), and its emblem is acockerel standing upon a football. The club has a long-standing rivalry with nearby neighbours Arsenal, with head-to-head fixtures known as the North London derby.
 
Back
Top Bottom