Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,861
Nashukuru Ivuga kwa kufuatilia kwa makini mechi, ilikuwa si mchezo. Jamaa walikomaa ile mbaya, lakini tumekuwa wababe wa Waitaliano kumtoa Inter then Milan si mchezo!. Wale wanaosema tuna kismati na waseme lakini tumekuwa timu ya kwanza toka Premier kuingia robo fainali.
...Shedafa hongera kaka,....bado nipo msibani bana, sikuwa hewani jana! Kama nilivyosema awali, "hamvumi lakini mmo!", ...si ajabu tukashtukia mpo Wembley kwenye fainali!...Hongereni sana.