Tottenham Hotspurs Thread

Tottenham Hotspurs Thread

Subiri mkuu mpira uwanjani na sioni mnapoenda kuwabahatisha hawa watoto Wa Portugal goal 5 usidhani ndio mmemaliza. Fc porto Si wale Wa kipindi lile hadi mkawafumua kiasi kile.

Katika robo ya UCL nyingi ndio mtaongoza kwa kutoka kwa aibu subiri mda

Kilichobaki Ndiyo Hicho Kuishia Kuwa Mtabiri kama Mganga Wa Kienyeji.
Liverpool UCL Ni nyumbani pale na Ninaheshimika tofauti na wewe Msindikizaji ambaye Hata Fainali Hajawahi Kuinusa.
 
Naona unauzuni Sana kuwatoa pale juu kwenye msimamo Wa league. Si haba na unatamani Sana Kane apate injury kubwa kutokana na game ya Jana.

Hii Ndiyo Sifa Ya Kitimu Kidogo Kama Cha Spurs Huwa Kinajisifia Kumpita Mtu tu Na Kwenda Kugawa Uroda UEFA CL Kwa wanaume! Kwahiyo kukamata Nafasi Ya Tatu Kwa Wiki Hii Kwako wewe Ni Sawa Na Kuwa Ubeba UCL.
Hongera Kwa Kombe lako la Top Four na Nafasi Ya Tatu.
Mimi Sihuzuniki Kwa Kupitwa na Kijispurs Kwani Ukweli usiofichika Ni Kwamba Mshinda Wa Kwanza Tu Ndiyo Mwenye Kombe! Lakini Wa Pili, Wa Tatu na Wa Nnne hawa Wote Sawa! Wanachoambulia Ni Kushiriki [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG] tu! Hiyo Wa 2, 3 na 4 Ni mbwembwe tu.
 
Kilichobaki Ndiyo Hicho Kuishia Kuwa Mtabiri kama Mganga Wa Kienyeji.
Liverpool UCL Ni nyumbani pale na Ninaheshimika tofauti na wewe Msindikizaji ambaye Hata Fainali Hajawahi Kuinusa.
Liverpool ya Rqfael Benitez huwezi fananisha na liver mbovu ya kloop.

Liver ambayo hata ikitangulia goal 10 kufunga basi wakati wote goal zinaweza kurudi. Sasa we subiri ndio uone nini nakizungumza sasa hivi.

Najua yote hayo uwezi kuona Ila mnaenda kutia aibu robo ndugu yangu.

Spurs tumetoka kiume japo ni mistake ndogo zilitokea pia ni moja ya matokeo. Sawa wewe na team mbovu unaleta jeuri mapema hivi
 
Hii Ndiyo Sifa Ya Kitimu Kidogo Kama Cha Spurs Huwa Kinajisifia Kumpita Mtu tu Na Kwenda Kugawa Uroda UEFA CL Kwa wanaume! Kwahiyo kukamata Nafasi Ya Tatu Kwa Wiki Hii Kwako wewe Ni Sawa Na Kuwa Ubeba UCL.
Hongera Kwa Kombe lako la Top Four na Nafasi Ya Tatu.
Mimi Sihuzuniki Kwa Kupitwa na Kijispurs Kwani Ukweli usiofichika Ni Kwamba Mshinda Wa Kwanza Tu Ndiyo Mwenye Kombe! Lakini Wa Pili, Wa Tatu na Wa Nnne hawa Wote Sawa! Wanachoambulia Ni Kushiriki [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG] tu! Hiyo Wa 2, 3 na 4 Ni mbwembwe tu.
Liverpool ya sasa ya genge la wahuni unakuja kutamba kabisa hapa.

Usajili Wa 75 kwa beki kwenu Yule mnahisi ndio mmekamilisha kikosi na kuwa team bora.

Hahahaha pole sana ndugu yangu hamna mnapoenda na mkikaa ovyo hata nafasi ya nne mnatapokonywa kwenye hizi game 9 zilizobaki
 
Hongereni kwa kufika quarter finals UCL
 
HT. (FA Cup Quarter final )

Swansea 0 - 2 Tottenham Hotspur.

spursofficial.jpg
 
Full time:
Swansea 0- 3 Tottenham.

Tottenham watinga nusu fainali ya michuano ya FA CUP.

Pongezi kwao kwa ushindi mnono.
 
Subiri mkuu mpira uwanjani na sioni mnapoenda kuwabahatisha hawa watoto Wa Portugal goal 5 usidhani ndio mmemaliza. Fc porto Si wale Wa kipindi lile hadi mkawafumua kiasi kile.

Katika robo ya UCL nyingi ndio mtaongoza kwa kutoka kwa aibu subiri mda

Je bado Unahoja?
Kaa Ukikumbuka Kuwa Liverpool FC sio Kigenge Cha Spurs Kinachoishia Kuvizia Top Four tu.

Ukweli Utabakia Kuwa Liverpool FC Liverpool Ndiyo Timu pekee Kwa Uengereza inayoweza Kupambana Na Kupata Mafanikio Kimataifa Kuliko Timu Yoyote Hile Ya Kiengereza.

Sasa Kimbilia Kusema Kuwa " Liverpool FC itatolewa Kwa Aibu Nusu Fainali"
 
Nimetulia Hapa Navizia News Kuhusu Harry Kane Kama Hajadai Kuwa Goli la Jana la Eriksen ni la Kwake lilimgusa kabla ya Kutinga Wavuni.
 
Back
Top Bottom