EZZ CHEZZ
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 1,230
- 1,352
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani game yetu na nyie wiki ijayo darajani itatoa picha halisi namna gani ushindAni utakavyokua.Good. Hongera pia kwa ushindi. Nadhani tushapata timu mbili zinazowania ubingwa. Tunaanza sisi kisha nyinyi akina Kante.
Jumapili ijayo hiyo saa moja na nusu jioni, usipotee hapa jukwaani.Good win. Karibuni darajani sasa
Good win. Karibuni darajani sasa
Kwa mzunguko wa kwanza, nadhani hii ndio game ngumu kwa Spurs kuliko game zote.Nadhani game yetu na nyie wiki ijayo darajani itatoa picha halisi namna gani ushindAni utakavyokua.
Haki yake maana kwa hii form ni matusi kumlipa chini ya 200k kwa wiki la si hivyo Club za kumchukua zipoHeung Min SonView attachment 1624481
Mimi siyo kama wale wa ArsrnalJumapili ijayo hiyo saa moja na nusu jioni, usipotee hapa jukwaani.
Aaahwapi mkuu. Tunaenda kuwaongezea maumivuUonekane mkuu maana daraja linaenda kuvunjwa mapema sana!
kwahiyo kwakua spurs kamfunga city ndo amfunge chelsea,ila niwakumbushe tu mara ya mwisho SPURS kushinda stanford bridge ilikua ni 10/2/1990 takribani miaka 30 iliyopita.