Mkuu uliangalia game? Nipe starts za short on target kati ya liver na spurs tuoneSteven Bergwijn kakosa nafasi mbili za wazi. Tulikuwa na big chances 4 kwa 0. Ilitakiwa tuwapige game ya leo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu uliangalia game? Nipe starts za short on target kati ya liver na spurs tuoneSteven Bergwijn kakosa nafasi mbili za wazi. Tulikuwa na big chances 4 kwa 0. Ilitakiwa tuwapige game ya leo.
Hata Mimi nilikuwa sijuwi kama hii timu pia ina jukwaa na mashabiki..Hii timu mara ya mwisho kuchukua kombe ni lini?
Mbona sijibiwi?
Duu!! KkkkkWe jamaa unakuja kuzurura humu na kupiga umbea kumbe hata Evaton anakutoa kamasi.!?
Halafu jukwaa lao limeanza kihuni.Hata Mimi nilikuwa sijuwi kama hii timu pia ina jukwaa na mashabiki..
Sijazungumzia hizo. Nimekuwa very specific: Big chances 0 - 4Mkuu uliangalia game? Nipe starts za short on target kati ya liver na spurs tuone
Ni ajabu pamoja na kupaki basi liva iliweza kupiga shots on target zaidi ya 10.Sijazungumzia hizo. Nimekuwa very specific: Big chances 0 - 4
Kwa quality ya attackers wa Looserpool hata ukiwadhibi bado watafanya shots on target, ingawa ndiyo hivyo zilikuwa weak shots. Sabu ya Moura ilitugharimu sana. Hatari nyingi kipindi cha pili kilianzia eneo lake. Kuna wachezaji hawajui umuhimu wa kupata matokeo mazuri. Hakuwa mzuri both with & without the ball.Ni ajabu pamoja na kupaki basi liva iliweza kupiga shots on target zaidi ya 10.
Ingebaki suluhu mourinho angeongea shombo kwa hizo stats ni bora amenyamazishwa.
Now bado europa.
Bro ishu siyo shots on target ishu ni kua na shots nyingi on target na huku mmepaki basi.Kwa quality ya attackers wa Looserpool hata ukiwadhibi bado watafanya shots on target, ingawa ndiyo hivyo zilikuwa weak shots. Sabu ya Moura ilitugharimu sana. Hatari nyingi kipindi cha pili kilianzia eneo lake. Kuna wachezaji hawajui umuhimu wa kupata matokeo mazuri. Hakuwa mzuri both with & without the ball.
Sioni sababu ya Mourinho kubadilika. Kucheza kila mechi kulingana na mpinzani alivyo ndiko kumempa mafanikio miaka nenda rudi. Hata yeye alikiri kuwa kuna mambo kadhaa anajifunza ili awe up to date ila hawezi kubadilisha mambo ya msingi yanayomjmfanya awe Mourinho.Bro ishu siyo shots on target ishu ni kua na shots nyingi on target na huku mmepaki basi.
Timu waliyocheza nayo ucl, Midjtallyand (sijui kama sijakosea), haikua treated hivi na ina jina kama password ya hotspot.
Huyu mourinho ni kocha ila asipobadilika kazi mtakua nayo.
Nilivyosema abadilike nilimaanisha kikosi of coz ukicheza na timu iliyokuzidi usipoonyesha kuiheshimu kwa kujilinda utakufa nyingi utie aibu.Sioni sababu ya Mourinho kubadilika. Kucheza kila mechi kulingana na mpinzani alivyo ndiko kumempa mafanikio miaka nenda rudi. Hata yeye alikiri kuwa kuna mambo kadhaa anajifunza ili awe up to date ila hawezi kubadilisha mambo ya msingi yanayomjmfanya awe Mourinho.
Wengi wanatamani aende pale Anfield na atafute ushindi kwa kucheza mchezo wa wazi. Ile ni Liverpool, timu bora ya dunia, ikiwa nyumbani! Spurs inayocheza na akina Eric Dier, Sissoko na Serge Aurier kwenye first eleven ifunguke dk 90 mbele ya Liverpool?
Jose ni kocha mzuri na huenda akawashangaza watu mwishoni mwa msimu.
Hawa itakuwa ni mashabiki wa arsenal waliochangamka.Halafu jukwaa lao limeanza kihuni.
Eti "Avumaye baharini papa ...."
Hawa itakuwa ni mashabiki wa arsenal waliochangamka.Halafu jukwaa lao limeanza kihuni.
Eti "Avumaye baharini papa ...."
Europa hana mpinzaniNi ajabu pamoja na kupaki basi liva iliweza kupiga shots on target zaidi ya 10.
Ingebaki suluhu mourinho angeongea shombo kwa hizo stats ni bora amenyamazishwa.
Now bado europa.
Tottenham wanahitaji kuimarisha defense kwa usajili mzuri ili timu iwe na balance nzuri ya kushambulia.Sioni sababu ya Mourinho kubadilika. Kucheza kila mechi kulingana na mpinzani alivyo ndiko kumempa mafanikio miaka nenda rudi. Hata yeye alikiri kuwa kuna mambo kadhaa anajifunza ili awe up to date ila hawezi kubadilisha mambo ya msingi yanayomjmfanya awe Mourinho.
Wengi wanatamani aende pale Anfield na atafute ushindi kwa kucheza mchezo wa wazi. Ile ni Liverpool, timu bora ya dunia, ikiwa nyumbani! Spurs inayocheza na akina Eric Dier, Sissoko na Serge Aurier kwenye first eleven ifunguke dk 90 mbele ya Liverpool?
Jose ni kocha mzuri na huenda akawashangaza watu mwishoni mwa msimu.
Kweli?Europa hana mpinzani
Pamoja mkuu, now nimekusoma fresh.Nilivyosema abadilike nilimaanisha kikosi of coz ukicheza na timu iliyokuzidi usipoonyesha kuiheshimu kwa kujilinda utakufa nyingi utie aibu.
Hili chama linakwenda kupewa heshima yake stahiki muda si mrefu. Imefika hatua Spurs inajiona ina "wajibu" wa kushinda Anfield kwa timu bora ya dunia!?Halafu jukwaa lao limeanza kihuni.
Eti "Avumaye baharini papa ...."
Kiongozi, unafananisha timu inayokufa na ile iliyozaliwa upya? Arsenal is history, just like Milan and United.Hawa itakuwa ni mashabiki wa arsenal waliochangamka.
Kkkkkk
Well said. Pale ni lazima kupata CB anayecheza kushoto atakayekuwa mbadala wa Super Jan Vertonghen. Dier ni ile anajituma tu, siyo wa kiwango kinachotakiwa. Yule dogo Rodon bado sana, nadhani Levy keshapata majibu.Tottenham wanahitaji kuimarisha defense kwa usajili mzuri ili timu iwe na balance nzuri ya kushambulia.
Hizo mechi tulizofanya vibaya zote alianza na kikosi cha pili ambao kama alivyosema "hawana motivation". Kwenye knockouts itakuwa full squads na hapo ndipo watu watamkumbuka yule Jose wa vikombe. Yule Jose ambaye aliwapa United vikombe vyao vya mwisho kubeba.Kweli?
Mmepigwa na Royal Antwerp.
Mmesuluhu tatu tatu na Ludogorets.
Ni kweli hakuna wapinzani?