Mbeya City Spurs I
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 482
- 1,025
Siyo watagombana naye, tayari kuna wachezaji washagombana naye. Jose ni serial winner anayehitaji wachezaji wanataka kushinda. Wachezaji wavivu kama akina Danny Rose ni lazima tu atagombana nao.hizo ni hasira zako wewe shabiki bado hasira za wachezaji kwa kocha, muda si mrefu utasikia wamegombana nae.
Ndombele pia alileta U-Pogba akapigwa benchi mpaka akaamua kupevuka acheze kwa bidii. Angalia sasa namna anavyokuwa mzuri uwanjani both with and without the ball.
Winks pia wiki kadhaa zilizopita alimwambia kocha kuwa anataka kucheza mara kwa mara baada ya kusugua benchi. Kocha alimwambia wembe ni ule ule; bidii. Dogo kaanza kukaza saa hizi kamnyang'anya tena namba bwana Sissoko.
Sema wengi mnao-mdiss Jose ni kwamba tu hamuwezi ku-cope na viwango vyake: Mentality, attitude, hard work, nk