Tottenham vs Liverpool (Who will win) ?

Tottenham vs Liverpool (Who will win) ?

Leo waafrika wameshine UCL. 🙂🙂 Heko Liverpool Na Kloop, ingependeza zaidi kama mcity wangetereza dk za mwisho mwisho.
 
Nawaibia siri moja ya UEFA:

Ikitokea timu mbili zikaingia fainali, moja kati ya hizo mbili imewahi kulichukua kombe na nyingine haijawahi, chance ni kubwa sana kwamba litaenda kwa ambaye ameshawahi kulichukua.

That being said, Liverpool FC have a probability of 1 to be the New Champions.

This was my post.
 
Liverpool bingwa

Screenshot_20190602-004457_FotMob.jpg



Spurs walikuwa vzur sana kuliko liver, bac awakuwa na bahti tu.
 
Back
Top Bottom