Kilichowaponza precission ni lack of long term strategic planning. wao walipoona wamekuwa superior kwenye market baasi, kwanza mbali ya kuwa huduma zao zilikuwa duni kila kukicha bado pia walishindwa kutengeneza mix nzuri ya capital financing source. yaani operation imekuwa too huge at low capital structure halafu walitegema kwamba lazima Pension funds ambao ni kama one investor wangenunua share na kuifanya precision ku- satisfy financing need zake na kinyume chake pension fund hawakuingia huko. la pili waliingia mkataba na KQ ambao ulikua too more verbal au hawakujua walichokua wanatafuta humo ni kitu gani matokeo yake hawakupata positive return ya makubaliuano hayo.
pia hawakuwa na business skills za kutosha na wakawa hawaoni mbali na kudhani competor wao alikua ni ATC peke yake ambaye badala ya kumdhibit competitively, wakawa wana deal naye kwa style ya kipekee (Kuihujumu) mara kioo kimekatika, mara pancha na vituko vingine vingi. unapokuwa katika biashara ya namna hii , its business analysis inayotakiwa sio ujinga ujinga utadhani mnafanya biashara ya mabasi.
jambo lingine hakukuwa na strong monitoring on opetrational costs, ajira kila kukicha, wameajiri watu wengi kuliko uwezo wa kampuni lakini hilo si tija sana jubwa zaidi ilikuwa ni tamaa ya kuona jinsi walivyo-dominate soko la Tanzani ndivoy ingekuwa kwa soko la kimataifa, sasa zile ndege klushindwa tu kufanya kazi baasi wamepaniki, kwani miaka mingapi wamefanya kazi na hizo sojui PTR? .
Katika biashara yoyote kikubwa ni kuwa na strategy ambazo zitakuhakikishia market share ya kutosha na pia uwe na udhibiti katika gharama za uendeshaji. na hata ghamra a uendeshaji hawatakiwi kuzilaumu kana kwamba ndo chanzo cha wao kukwama, eti mafuta na kodi nyingi, si kweli kwani gharam za uendeshaji una weza kuzijua mwanzoni kwa hiyo unakuwa na uhakika wa nini kitatokea. kwa mfano kodi lazima ziko fixed, bei ya mafuta iko fixed, kwa maana ya kwamba lazima ufnaye hedging na mambo mengine ya derivatives ili kwamba hata kama kutakuwa na mabadiliko yoyote uwe salama kwamba unakuwa nauhakika na nini utapata.
management walivyoona kwamba wameidhibiti ATC wakaenda kwenye kulalia zaidi kuangalia jinsi ya kuwa na maximum profiti huku wakisahau the negative side of it - yaani associated cost. kukodi ndege ndani ya mwaka mmoja na kuirudisha ni poor financial planning. vitu vya kama lease ni long term invetment huwezi ukaingia kwenye lease halafu short term changes kwenyer soko zikufanye ukwame, kwa mfano ujio wa comptetior mmoja, je wangekuja wanne si ndo wamgekimbia kabisa.
Hawa jamaa waliondoka kwenye taaluma wakaanza kwenda kwa kubahatisha baada ya kuona wako wenyewe na kimsingi hiyo management inatakiwa ishtakiwe na wanahisa na iondolewa kabisa. kosa lingine mimi siamini kumchukua mkenya aje kuwa CEO wa precision ilikuwa ni aidia nzuri, unaweza kukuta alikuwa na mishahara miwili mmoja kenya mwininge huku precision.
Precision ilitakiwa kutafuta huo mkopo wa kununulia hizo ndege kama back up plan kwamba business ikienda vibaya basi wawe na upande wa pili wa financing option kuliko kusubiri maji yafike shingoni ndo uanze kutapatapa serikalini. ut us as if hawajasoma concept ya capital strucutre. hizi taaluma ukiziangalia kwa juu juu ni kama hazifanyi kazi lakini ukweli ni kwamba ukitoka kwenye mstari ndo haya yanakuja kufuata baadaye. halafu bila aibu wanasema kilichotuangusha ni kwa pension fund kutokununua share, kweli mtu msomi una fanya business analysis kwa kubase kwrnye option ya invertos mmoja? wapi ulisikia kitu kama hicho?
kwa upande wa sertikali, kwa kuwa wanaishi kwa siasa za kuogopa kuonekana malimbukeni, kwamba ATC hawajaisaidia halafu wanasaidia Precision ndo kitakachofanya wasiisaidie precision, lakini kwa kufnaya hivyo watakuwa very inmature na unfocused katika masuala ya corporate invetment. kilichoiangusha ATC ni hasa corruptiuon na poor management, lakini kwa precision kuanguka kwao hakijatokana na corruption, sasa huwezi kukataa kuisadidia precision kwa kuogopa tu ntaulizwa kule bungeni kuhusu ATC ambao kuanguka kwao ni kwa tofauti kabisa na Precision. na kwa vile precision ndo ilikua kama nationala carriier tukiiacha ikafa, basi tumejimaliza kwa mara ya pili. kwani ikishakufa precision na ATC itakufa tena tunarudi kuleee.
Cha mssingi raisi afumbe macho waitoe precision hapo ilipo lakini wajiridhishe na plani zake ili waidhibiti na ikibidi wa hedge hiyo loan kwa kununua hisa ndani ya precision yenyewe, tena wanunue zile hisa za KQ ili ziwe za serikali yetu kwani hata sioni kabisa msaada precision wanaoupata kutoka KQ.
Vilevile wauze kwa wabia (outsourse) upande wa operation department, ambapo kweli precision imeoza na huwa wanajiona wao kuwa ndio wao, huduma mbaya, ndge za kfukuzana nazo majibu mabovu, msmbo kama haya ndo yanaifanya precision kushindwa kushindana na mashirika kama Fastjet. kwani fast jet hawana mzigo wa hizo gharam za mafuta na kodi? jibu ni ndioy wanazo, ila wako very sensitiveo nevery additional cost na pia precision wangeangalia kuhusu bei zao, faida ya kampuni yoyote haitegemei kwa kuangalia per unit, hapana unaangalia total profit ambayo kwa namna hiyo walitakiwa kuwa na udhibiti wa matumizi huku wakihakikisha huduma ni nzuri na za kuridhisha. hii ndege ya fast jet kwanza haitumiwi na mashirika yaliyo mengi, soko walilolishika fast jet ni la wasafiri wa kujitegema ambalo isingekuwa challenge sana kwa precision, wao wanatakiwa kuboresha hiuduma zao kwa mashirika, kuwa zkaribu zaidi na wateja, kuwe na corporate customer service desk, wawatembelee wateja wao, wawape offer, wingie nao mikataba ya mwaka na vitu kama hivyo. kuliko kujikanyagakanyaga kisa wamekosa strategy za kuihujumu fast jet