Tour campsite: Watu wanne walio serious tuanze hii biashara

Una hitaji watu wenye mitaji ya pesa kama ndio ni kiasi gani?
Sema ueleweke mkuu,kuandika maneno kwenye Uzi wako hakuna limits andika hata maneno laki moja!
Kutengeneza campsite ni hela inatumika mjue. Ku design na kila kitu japo wazungu wanapenda simplicity ila lazima pawe na mvuto haswa na ni hela!
 
Deal ni zuri ila hela ikishaanza kuingia lazma kutokee mvurugano. Ila kwa sasa wana mawazo mazuri sana, shida hizo dollar 50 per kichwa zikianza kuingia sasa! Lazma mmoja ajione anapunjwa!!!
Haliwezi kutokea,ndomana tunaendelea kuchekecha wazo lenyewe,maana inabidi tuangalie kila upande.

Waafrica kwenye hela hua tunajisahau sana,kwahiyo kwa kulijua hilo lazima tuchukue tahadhari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie nina best angu anataka akatengeneze yakwake kule lake Jipe. Kuna mwengine ana Magoroto forest iko vizuri anapiga hela tu sasa hivi!
 
Mie nina best angu anataka akatengeneze yakwake kule lake Jipe. Kuna mwengine ana Magoroto forest iko vizuri anapiga hela tu sasa hivi!
Yuko vizuri na hela ipo,ukipata wateja wachache wakatoa recommendation nzuri tu kwa wenzao basi biashara yako inakua imeimarika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejiunga kwa group chief,nasubiria madini.Mimi ni msafiri wa mara kwa mara kwa Madiba,kule tents suo ghali sana .Zinapatikana kuanzia rand 1200 na kuendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: 365
Nimejiunga kwa group chief,nasubiria madini.Mimi ni msafiri wa mara kwa mara kwa Madiba,kule tents suo ghali sana .Zinapatikana kuanzia rand 1200 na kuendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu sana,tunaendelea kujadili namna nzuri ya kujenga na kupata attractive location,

Changia wazo lolote ulilonalo ili twende mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
baba Capital na kodi zitakutoa out. ila all the best
Kodi haiuwi na si lazima mtu aanze kunaa mm niko krt nagonga mdogo mdogo na sasa naanza kuona mafanikio wamejitokeza wadau wa nje kuingiza mitaji. SO MWENYE WAZO HILI ENDELEA NALO
 
Reactions: 365
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…