Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru sana,japo naendelea kuuliza maswali,kadhaa wa kadhaa,
1.Kwanini utalii ni garama sana Tanzania. Nadhani kwa Tanzania serikali imeweka kidogo kodi kuwa juu kwa kuwa wamejua huko ndiko hela zilipo na pia tuna vitu ambavyo havipatikani nchi zingine duniani so ni kama hawana washindani.
2.kwanini wafanya biasharara ya utalii (reputable company) ni wageni Zanzibar case and Arusha. (Watanzania wengi ni tour guiges,but main stream wako wenyewe wa nje)(kuna taarifa jana nimepata tanapa zinazoendana hili swali) wengi wametoka nje sababu waliona opportunity katika hiyo sector na pia walikua tayari na connection na travel agents, pia mitaji inawabeba na kuaminika pia. wabongo mgeni akibook safar leo na akulipe halafu safari yenyewe mwakani akija anakuta hela ulishaila unaanza kuunga unga vitu visivyoeleweka.
3.mawakala wa nje wanataka niwe na nini ili nifanye nao kazi.Kikubwa n uaminifu na ubora wa kile unachokifanya. sio kuahidi vitu vingi na wageni wake wakifika wavikose hapo umeua kampuni tayari.
Sent using Jamii Forums mobile app
IDEA NZURITengeneza whatsapp group, wote interested tukufate huko, tukajadili mikakati yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutengeneza campsite ni hela inatumika mjue. Ku design na kila kitu japo wazungu wanapenda simplicity ila lazima pawe na mvuto haswa na ni hela!Una hitaji watu wenye mitaji ya pesa kama ndio ni kiasi gani?
Sema ueleweke mkuu,kuandika maneno kwenye Uzi wako hakuna limits andika hata maneno laki moja!
Simplicity ni mhimu sanaKutengeneza campsite ni hela inatumika mjue. Ku design na kila kitu japo wazungu wanapenda simplicity ila lazima pawe na mvuto haswa na ni hela!
Deal ni zuri ila hela ikishaanza kuingia lazma kutokee mvurugano. Ila kwa sasa wana mawazo mazuri sana, shida hizo dollar 50 per kichwa zikianza kuingia sasa! Lazma mmoja ajione anapunjwa!!!nawaombea mfikie malengo yenu..ni deal zuri ila muwe serious
Mjitahidi msivurugane tu maana ndio utakuwa mwisho wa hio biashara. Patnership ni ngumu sana bongo
Haliwezi kutokea,ndomana tunaendelea kuchekecha wazo lenyewe,maana inabidi tuangalie kila upande.Deal ni zuri ila hela ikishaanza kuingia lazma kutokee mvurugano. Ila kwa sasa wana mawazo mazuri sana, shida hizo dollar 50 per kichwa zikianza kuingia sasa! Lazma mmoja ajione anapunjwa!!!
Mie nina best angu anataka akatengeneze yakwake kule lake Jipe. Kuna mwengine ana Magoroto forest iko vizuri anapiga hela tu sasa hivi!Haliwezi kutokea,ndomana tunaendelea kuchekecha wazo lenyewe,maana inabidi tuangalie kila upande.
Waafrica kwenye hela hua tunajisahau sana,kwahiyo kwa kulijua hilo lazima tuchukue tahadhari
Sent using Jamii Forums mobile app
Yuko vizuri na hela ipo,ukipata wateja wachache wakatoa recommendation nzuri tu kwa wenzao basi biashara yako inakua imeimarikaMie nina best angu anataka akatengeneze yakwake kule lake Jipe. Kuna mwengine ana Magoroto forest iko vizuri anapiga hela tu sasa hivi!
Karibu sana,tunaendelea kujadili namna nzuri ya kujenga na kupata attractive location,Nimejiunga kwa group chief,nasubiria madini.Mimi ni msafiri wa mara kwa mara kwa Madiba,kule tents suo ghali sana .Zinapatikana kuanzia rand 1200 na kuendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huyu wa magoroto siyo Mchechu kweliMie nina best angu anataka akatengeneze yakwake kule lake Jipe. Kuna mwengine ana Magoroto forest iko vizuri anapiga hela tu sasa hivi!
kama utakujari niwe kwenye market departmentTanzania biashara ya utalii na madini hazijatendewa haki kabisaaa.
Sasa nahitaji watu wanne au zaidi tuanze na campsite moja kabambe ambayo itakua mfano Tanzania ikiwezekana Dunia nzima.
Wekeni namba zenu za simu hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kodi haiuwi na si lazima mtu aanze kunaa mm niko krt nagonga mdogo mdogo na sasa naanza kuona mafanikio wamejitokeza wadau wa nje kuingiza mitaji. SO MWENYE WAZO HILI ENDELEA NALObaba Capital na kodi zitakutoa out. ila all the best