Tour campsite: Watu wanne walio serious tuanze hii biashara

Kodi haiuwi na si lazima mtu aanze kunaa mm niko krt nagonga mdogo mdogo na sasa naanza kuona mafanikio wamejitokeza wadau wa nje kuingiza mitaji. SO MWENYE WAZO HILI ENDELEA NALO
asante sana,japo itabidi tusaidiane connection za wadau wa nje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
asante sana,japo itabidi tusaidiane connection za wadau wa nje

Sent using Jamii Forums mobile app
TuaSiliane niko krt kikubwa stick kwenye idea yako na mm nimeio a ni nzuri.
Kikubwa uangalie usafiri wa uhakika
Maana garama kubwa kwenye utalii ni usafiri. Labda we ua ze na kukodisha tent a kale katrela kakunenea mizigo mwenye gari awe mwingine then utakuwa hulipi kodi au uanze na magari ya majamaa na iwe kwa watalii wandani maana hayana kodi za kitalii
 
Reactions: 365
safi mkimaliza CCM ina toa mikopo kwa Vijana na wakina mama... zero riba...

karibuni kwa maendeleo yetu...
Inatoa kwa maninja wa ccm au vijana wakitanzania maana kuna maeneo tumeambiwa lazima uwe na kadi huku mnasema maendeleo hayna chama
 
Nashukuru sana,Samahani Krt ni nini,sijaelewa vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inatoa kwa maninja wa ccm au vijana wakitanzania maana kuna maeneo tumeambiwa lazima uwe na kadi huku mnasema maendeleo hayna chama
Vigezo na mashart vizingatiwe...
 
A to z ya biashara unaifahamu vizuri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je mwanzo unaweza kuanza na mtaji na leseni kiasi gani na vitu gani vinahitajika kwa mwanzo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…