PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,437
Ulikwama wapMimi last year nlfanikiwa kuazisha kampuni ya Africa land culture tours kuptia mtandao ikiwa nia n ku promote utali wandani ila kwa kiasi flan dc year nakwama sna watu wakupush
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefika Mang'ola na Barahy kwenye shughuli tofauti zaidi ya miaka mitano iliyopita. Ni kweli kuna Watalii wengi wanapita kufanya utalii wa cultural tourism. Na si tu utalii kwa maana ya kuona lakini pia kama study. Nina hakika unaweza kuspesholaizi kwenye utalii wa aina moja ukafanikiwaHua nakuja sana hayo maeneo,uko sehemu gani hapo Krt,nimeenda sana mang'ola kuna watu wanapata sana hela kwenye cultural tourism kwenye wale wahadzabe kila siku watalii wamezunguka vile vibanda vyao
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ikiwa nje inaleta gharama za ziada na muda kufikia eneo la kitalii haswa pqle unapohitaji wageni wa day trip au one night pia lazima iwe karibu na airstrip au sehemu inayofikiwa kiurahisi kwa njia ya gari .Changamoto kweli kweli,kwahiyo kama campsite iko kwenye shamba langu napo watataka huyo ecologist?
Ecologist nadhani anatumika kwenye campsite zilizo ndani ya hifadhi na mbuga,ila kama ni shamba au site binafsi bilashaka hamna shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania biashara ya utalii na madini hazijatendewa haki kabisaaa.
Sasa nahitaji watu wanne au zaidi tuanze na campsite moja kabambe ambayo itakua mfano Tanzania ikiwezekana Dunia nzima.
Wekeni namba zenu za simu hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Australia wana vitu havipatkan sehem zingnUko vizuri sana,utalii ni biashara nzuri sana,Australia 75% wamejiajili kwenye sekta ya utalii,na Australia kwasasa duniani ndo inaongoza kwa utalii,na ukiangalia ina vivutio ambavyo hata sisi tumewazidi!
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu camp site kwa 2m unatania remember kwanza yale ma tent lazima yawe up to the standard sio vile vihema mobile vya kupandia mlima.Mkuu million 2 kama na nusu hivi tutengeneze site na all promotions.
km tutapata wageni watatu wa safari au mlima hela yako yote imerudi.
Sent using Jamii Forums mobile app
kama umeshawahi kufanya biashara ki corporate hata partner ambaye mi marehem hawezi kudhulimiwa .kila kitu kwa contract na shares ziko wazi za who get what.Deal ni zuri ila hela ikishaanza kuingia lazma kutokee mvurugano. Ila kwa sasa wana mawazo mazuri sana, shida hizo dollar 50 per kichwa zikianza kuingia sasa! Lazma mmoja ajione anapunjwa!!!
i know magoroto iko vyema sana just a place to be ukitaka kujisikia out of this world and yet you are here!Mie nina best angu anataka akatengeneze yakwake kule lake Jipe. Kuna mwengine ana Magoroto forest iko vizuri anapiga hela tu sasa hivi!
tent lazima ziwe standard semi aprtment kutegemea na wapi na ume aim watalii wa aina gani ila vyema ku aim kwa wa tourist sio travellers.Nimejiunga kwa group chief,nasubiria madini.Mimi ni msafiri wa mara kwa mara kwa Madiba,kule tents suo ghali sana .Zinapatikana kuanzia rand 1200 na kuendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu msitusahau sisi wadau ... Kwenye ajiramkuu camp site kwa 2m unatania remember kwanza yale ma tent lazima yawe up to the standard sio vile vihema mobile vya kupandia mlima.
pili lazima uajiri proffesional chef kwa maakuli.
uwe na stock nzuri tu ya vinywaji na viburudisho vingine.
uwe na walinzi japo hao wenhine ni currently or daily running cost not part of sinking capital. lazima miongonimwa partner wawe konowleagle na mambo ya kudeal na camp na pull out proffesional house keeping staff member .
so there is a lot of deatails that can not add up in mere 2m budget mkuu
ila niko na brainstorm hii idea nikikaa vzr nitajiung to take this positive risk
Sent using Jamii Forums mobile app
Bella ciao
Maneno uliyosema mbona huwa wanatumia iyo picha kwa profile?!Bella ciao
Hii Link najiunga inagoma...link imekuwa Revoked tayari.
Kuna kitu unakijua mkuuuu ndio maaana umeuliza lacasa de papelManeno uliyosema mbona huwa wanatumia iyo picha kwa profile?!