Tour campsite: Watu wanne walio serious tuanze hii biashara

Tour campsite: Watu wanne walio serious tuanze hii biashara

Hua nakuja sana hayo maeneo,uko sehemu gani hapo Krt,nimeenda sana mang'ola kuna watu wanapata sana hela kwenye cultural tourism kwenye wale wahadzabe kila siku watalii wamezunguka vile vibanda vyao

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefika Mang'ola na Barahy kwenye shughuli tofauti zaidi ya miaka mitano iliyopita. Ni kweli kuna Watalii wengi wanapita kufanya utalii wa cultural tourism. Na si tu utalii kwa maana ya kuona lakini pia kama study. Nina hakika unaweza kuspesholaizi kwenye utalii wa aina moja ukafanikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Changamoto kweli kweli,kwahiyo kama campsite iko kwenye shamba langu napo watataka huyo ecologist?

Ecologist nadhani anatumika kwenye campsite zilizo ndani ya hifadhi na mbuga,ila kama ni shamba au site binafsi bilashaka hamna shida

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ikiwa nje inaleta gharama za ziada na muda kufikia eneo la kitalii haswa pqle unapohitaji wageni wa day trip au one night pia lazima iwe karibu na airstrip au sehemu inayofikiwa kiurahisi kwa njia ya gari .
Kwa point hizo itabidi ulihamishe shamba lako maana si rahisi kupata strategic advantage zote hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi ni takwimu za lini? Ni lini Australia imeipiku France, US, Spain , China, n.k ?kama unamaanisha nchi yenye vivutio vya asili na diversification ya wanyama na mimea labda , lkn kwa wingi wa kupokea wageni, Australia haifui dafu kwa hizo nilizotaja juu.
 
Mkuu million 2 kama na nusu hivi tutengeneze site na all promotions.

km tutapata wageni watatu wa safari au mlima hela yako yote imerudi.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu camp site kwa 2m unatania remember kwanza yale ma tent lazima yawe up to the standard sio vile vihema mobile vya kupandia mlima.
pili lazima uajiri proffesional chef kwa maakuli.
uwe na stock nzuri tu ya vinywaji na viburudisho vingine.
uwe na walinzi japo hao wenhine ni currently or daily running cost not part of sinking capital. lazima miongonimwa partner wawe konowleagle na mambo ya kudeal na camp na pull out proffesional house keeping staff member .
so there is a lot of deatails that can not add up in mere 2m budget mkuu
ila niko na brainstorm hii idea nikikaa vzr nitajiung to take this positive risk


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Deal ni zuri ila hela ikishaanza kuingia lazma kutokee mvurugano. Ila kwa sasa wana mawazo mazuri sana, shida hizo dollar 50 per kichwa zikianza kuingia sasa! Lazma mmoja ajione anapunjwa!!!
kama umeshawahi kufanya biashara ki corporate hata partner ambaye mi marehem hawezi kudhulimiwa .kila kitu kwa contract na shares ziko wazi za who get what.
hakuna un attended and countable shilling hakuna cha juu wala cha pembeni kila kitu kinaacha paper trail ukipiga one day utajulikana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejiunga kwa group chief,nasubiria madini.Mimi ni msafiri wa mara kwa mara kwa Madiba,kule tents suo ghali sana .Zinapatikana kuanzia rand 1200 na kuendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
tent lazima ziwe standard semi aprtment kutegemea na wapi na ume aim watalii wa aina gani ila vyema ku aim kwa wa tourist sio travellers.
travellers can slip anywhere as long as it is budget accomodation and safe but real money ipo kwa watalii from medium range budget to luxury -A list tourist!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu camp site kwa 2m unatania remember kwanza yale ma tent lazima yawe up to the standard sio vile vihema mobile vya kupandia mlima.
pili lazima uajiri proffesional chef kwa maakuli.
uwe na stock nzuri tu ya vinywaji na viburudisho vingine.
uwe na walinzi japo hao wenhine ni currently or daily running cost not part of sinking capital. lazima miongonimwa partner wawe konowleagle na mambo ya kudeal na camp na pull out proffesional house keeping staff member .
so there is a lot of deatails that can not add up in mere 2m budget mkuu
ila niko na brainstorm hii idea nikikaa vzr nitajiung to take this positive risk


Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu msitusahau sisi wadau ... Kwenye ajira
 
Maeneo ya kaskazini vijana wanapiga pesa safi sana kupitia cultural and social tourism, cycling, waterfalls, town trips (Markets, schools, orphanage centres etc), zipo fursa nyingi ambazo zimeachwa tu without a notice

Jamaica mtalii hawezi kurudi kwao bila kuondoka na contacts/friendships za wenyeji sababu watu wa kule wanawadaka haswa kwa kuwavutia na shughuli ndogo ndogo kama za music, handcrafted gifts etc hatimaye watalii wamekua wakiacha pesa nyingi sana kwa local communities na wanakua na tendency ya kurudi mara kwa mara.
 
Eneo gani naweza jenga kahotel kadogo kwaajili ya watalii, i mean sehem ambapo bado fursa hiyo ipo
 
  • Thanks
Reactions: 365
Back
Top Bottom