Tuwasiliane nikusaidieBiashara 2000..kwa mtu aliye mbali anataka maelezo na mafunzo inakuwaje?
Please uwe muangalifu. Horticulture sio greenhouse pembejeo na mengineyo. Is science and art. Ningekushauri uanze na open field hekari moja tu. Uje mbili na mwisho 5. Ukifanikiwa go to greenhouse moyo wangu utakuwa radhi. Kwa sasa fanya nikushauricho. Horticulture sio rahisi hivyo. Jenga uwezo wa ndani na nje wa kusimamia mradi wa Aina hiyo.Mkuu hakika umenipa hamasa...sasa naanza rasmi maana ninaekari 20 tabora na zipo ndani ya manispaa tena barabara ya lami..nimeshajenga nyumba ya mlinzi imeisha na nimeweka solar tayari nilikua nimeanza na vibanda vya ufugaji na mizinga michache ya nyuki..sasa ntaweka mizinga 300 na kuna siku niliwapigia Balton wakanipa bei zao nikaona kama ni ghali kumbe inalipa sana maana walinambia wananipa greenhouse,madawa,simtank na mfumo mzima wa umwagiliaji ndani na nje ya greenhouse. Byebye umaskini
Mkuu simaanishi ni rahisi,isipokuwa wao waliniambia kwa ile bei ni pamoja na mtaalamu kwa kipindi hicho kwa hiyo suala la kuogopa hapa halina nafasi kwakuwa wao bado watakuwa available kwa ushauri na utaalamu wakati mimi pia nikiendelea kupata utaalamu. Mkuu haya mambo tukiogopa sana hatutafika bora kuanza sasa wakati mtaji upo maana huwezijua ya kesho kwenye hizi kazi za watu tunazofanya. Hiyo greenhouse yenyewe ni ndogo ambayo hata mtu mwenye eneo kubwa nyumbani kwake anawezakuweka japo wanazokubwa ambazo ni ghali sana kwanguPlease uwe muangalifu. Horticulture sio greenhouse pembejeo na mengineyo. Is science and art. Ningekushauri uanze na open field hekari moja tu. Uje mbili na mwisho 5. Ukifanikiwa go to greenhouse moyo wangu utakuwa radhi. Kwa sasa fanya nikushauricho. Horticulture sio rahisi hivyo. Jenga uwezo wa ndani na nje wa kusimamia mradi wa Aina hiyo.
Asante
With clean [emoji813]
With a clean [emoji813]
Try but never put your two feet inMkuu simaanishi ni rahisi,isipokuwa wao waliniambia kwa ile bei ni pamoja na mtaalamu kwa kipindi hicho kwa hiyo suala la kuogopa hapa halina nafasi kwakuwa wao bado watakuwa available kwa ushauri na utaalamu wakati mimi pia nikiendelea kupata utaalamu. Mkuu haya mambo tukiogopa sana hatutafika bora kuanza sasa wakati mtaji upo maana huwezijua ya kesho kwenye hizi kazi za watu tunazofanya. Hiyo greenhouse yenyewe ni ndogo ambayo hata mtu mwenye eneo kubwa nyumbani kwake anawezakuweka japo wanazokubwa ambazo ni ghali sana kwangu
Yeah....that's very true..I'm keen on thatTry but never put your two feet in
With a clean [emoji813]
Hapo ndo huwa sielewi...unakatazwa kutumia Maji chumvi kumwagilia mmea lakini mbelea za chumvi chumvi zinatumika sana kukuzia na kuboreshea mazaoHakikisha tu hutumii maji ya chumvi
Sio kila chumvi inafaa kutumiwa na kiumbe Hai. Chumvi nyingine ni kwa ajili ya mmea nyingine kwa binadamu nyingine kwa wanyama na mimea yafaa. MfanoHapo ndo huwa sielewi...unakatazwa kutumia Maji chumvi kumwagilia mmea lakini mbelea za chumvi chumvi zinatumika sana kukuzia na kuboreshea mazao
Naomba kujua zaidi hapo mkuu
Kisima kuchimba bei nachoSi ukachimbe kisima mkuu? Aaaah, tena pale maji hayapo mbali
Tuwasiliane nikusaidie
Maji chumvi yasiwe na chumvi Kali km itakuwa Kali changanya kidogo na maji safiNimevutiwa sana, kwa Dodoma inawezekana kweli? Maji ya chumvi
Maji chumvi yasiwe na chumvi Kali km itakuwa Kali changanya kidogo na maji safi