Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

Napenda kufanya kilimo,ila huwa nawaza unapataje wateja,mfano kama nyanya matikiti mananasi etc wanalima wengi,inamaana kuna high competition.Nikiwaza hivo kichwa kinauma kweli.
Eneo kama vigwaza unaweza kufanya kilimo cha nini?,na hiyo sehemu maji ya shida unless nichimbe kisima,unanishaurije?
 
Mkuu hakika umenipa hamasa...sasa naanza rasmi maana ninaekari 20 tabora na zipo ndani ya manispaa tena barabara ya lami..nimeshajenga nyumba ya mlinzi imeisha na nimeweka solar tayari nilikua nimeanza na vibanda vya ufugaji na mizinga michache ya nyuki..sasa ntaweka mizinga 300 na kuna siku niliwapigia Balton wakanipa bei zao nikaona kama ni ghali kumbe inalipa sana maana walinambia wananipa greenhouse,madawa,simtank na mfumo mzima wa umwagiliaji ndani na nje ya greenhouse. Byebye umaskini
 
Please uwe muangalifu. Horticulture sio greenhouse pembejeo na mengineyo. Is science and art. Ningekushauri uanze na open field hekari moja tu. Uje mbili na mwisho 5. Ukifanikiwa go to greenhouse moyo wangu utakuwa radhi. Kwa sasa fanya nikushauricho. Horticulture sio rahisi hivyo. Jenga uwezo wa ndani na nje wa kusimamia mradi wa Aina hiyo.

Asante
With clean [emoji813]

With a clean [emoji813]
 
Mkuu simaanishi ni rahisi,isipokuwa wao waliniambia kwa ile bei ni pamoja na mtaalamu kwa kipindi hicho kwa hiyo suala la kuogopa hapa halina nafasi kwakuwa wao bado watakuwa available kwa ushauri na utaalamu wakati mimi pia nikiendelea kupata utaalamu. Mkuu haya mambo tukiogopa sana hatutafika bora kuanza sasa wakati mtaji upo maana huwezijua ya kesho kwenye hizi kazi za watu tunazofanya. Hiyo greenhouse yenyewe ni ndogo ambayo hata mtu mwenye eneo kubwa nyumbani kwake anawezakuweka japo wanazokubwa ambazo ni ghali sana kwangu
 
Try but never put your two feet in

With a clean [emoji813]
 
Hakikisha tu hutumii maji ya chumvi
Hapo ndo huwa sielewi...unakatazwa kutumia Maji chumvi kumwagilia mmea lakini mbelea za chumvi chumvi zinatumika sana kukuzia na kuboreshea mazao
Naomba kujua zaidi hapo mkuu
 
Sio kila chumvi inafaa kutumiwa na kiumbe Hai. Chumvi nyingine ni kwa ajili ya mmea nyingine kwa binadamu nyingine kwa wanyama na mimea yafaa. Mfano
NaCl ni chumvi yaweza kutumiwa na wanyama na binadamu Bila shida hii huitwa common salt Ile tunayoipikia Vyakula
Ipo mfano Ile inaitwa ammonium nitrate hii ni chumvi ila mbolea. Hutumiwa na mimea na wanyama pia mfano ng'ombe. Hii ndio mbolea ya urea wengine husema.
Sasa zipo nyingi ila inategemea ni compound gani imefanyika kwa dhumuni gani.
Ni kama dawa za binadamu zilivyo tofauti na za wanyama na Ndege.
Kwa hiyo sio kila chumvi ni nzuri kwa kila kiumbe au kila chakula ni kizuri kwa kila kiumbe au sio kila maji ni salama kwa kila kiumbe.
Tujue tu kuwa compound formed ndio inayoamua itumiwe na kiumbe gani
 
Nimevutiwa sana, kwa Dodoma inawezekana kweli? Maji ya chumvi
 
Back
Top Bottom