Galore
JF-Expert Member
- Feb 14, 2015
- 253
- 222
Napenda kufanya kilimo,ila huwa nawaza unapataje wateja,mfano kama nyanya matikiti mananasi etc wanalima wengi,inamaana kuna high competition.Nikiwaza hivo kichwa kinauma kweli.
Eneo kama vigwaza unaweza kufanya kilimo cha nini?,na hiyo sehemu maji ya shida unless nichimbe kisima,unanishaurije?
Eneo kama vigwaza unaweza kufanya kilimo cha nini?,na hiyo sehemu maji ya shida unless nichimbe kisima,unanishaurije?