Biashara2000
JF-Expert Member
- Nov 9, 2013
- 649
- 547
- Thread starter
-
- #61
nina shamba robo heka, lipo kasulu, ni kwenye makazi ya watu. ninawezaje kuanzisha greenhouse?
1. nahitaji kujua gharama ya kisima bomba kabisa
2. nahitaji kujua gharama za ujenzi wa greenhouse hadi kuwa tayari kwa kilimo mfano m15*30 ukubwa wa shamba.
3. makadirio ya mavuno kwa msimu ni kiasi gani
December nitakutembelea nikitokea kasulu. nikupate wapi?
Kuna mahali umesema maji ya chumvi sio mazuri, nina kisima kiko Kisarawe na kina chumvi kidogo na nilikua najipanga kutumia maji hayo kwa umwagiliaji wa mboga mboga na matunda. Hebu nisaidie kwa nini hayafai? Ni kwa baadhi ya mazao tu au hata mchicha, bamia n.k?
Mkuu hata kutaja iyo mbegu unayotumia nayo inabidi tukutumie ako ka elfu ishirin?
Mkuu hata kutaja iyo mbegu unayotumia nayo inabidi tukutumie ako ka elfu ishirin?
Ngoja nikushauri. Hako ka elfu ishirini kako mbona unaweza tu kafanyia kazi tu na ukapata mafanikio tu. Nunua mbegu inaitwa Tanya inauza 5,000 na dawa ya megacine then anza kulima kaka. Mbona inakutosha sana
Mimi niko maeneo ya horohoro mkoani Tanga mpakani kwenda Mombasa, nimechimba lambo hivyo ninatumia maji ya mvua ninayovuna wakati wa mvua nyingi, je mbegu yako inafaa eneo hilo?
Ngoja nikushauri. Hako ka elfu ishirini kako mbona unaweza tu kafanyia kazi tu na ukapata mafanikio tu. Nunua mbegu inaitwa Tanya inauza 5,000 na dawa ya megacine then anza kulima kaka. Mbona inakutosha sana
Ngoja nikushauri. Hako ka elfu ishirini kako mbona unaweza tu kafanyia kazi tu na ukapata mafanikio tu. Nunua mbegu inaitwa Tanya inauza 5,000 na dawa ya megacine then anza kulima kaka. Mbona inakutosha sana
mkuu sijaelewa kitu hapo, hiyo Tanya ndio mbegu unayotumia hata wewe kwenye hiyo greenhouse yako?? mana nijuavyo Mimi Tanya sio hybrid...
Habari za asubuhi.
Kwa wale waliotaka angalau kuona kwa ufupi shamba langu la greenhouse ambalo nimelima nyanya ndani ya greenhouse na nje pia yaani bila greenhouse ila kwa kutumia formula maalumu ya kitaalamu ya kutumia gharama kidogo ila mavuno mengi na makubwa wanaweza ku click hiyo video hapo chini na kuangalia.
0758 308193
Ngoja nikupe mfano. Tuseme unaishi katika nyumba ambayo kwa upande wa nyuma una eneo ambalo lina ukubwa wa upana hatua tano na urefu vile vile. Hivyo 5 x 5 = 25 square meter. Katika kila square meter 1 unapanda miche 4 hivyo x 25 ni miche 100. Kila mche unakupa kilo 15 yaani sawa na ndoo moja na nusu ya nyanya kwa mwezi. Bei ya shambani ukiamua kufanya mia tano x 15 ni sh. 7,500 kwa kila mche kwa mwezi. 7,500 x miche 100 = sh. 750,000 kwa mwezi. Je kwa miezi nane ya uvunaji itakuaje? 6,000,000. Na hii ni bila greenhouse
Je utaendelea kunyanyaswa na bosi wako ulipoajiriwa na kuendelea kumtajirisha mpaka lini?