Habari kaka. Tunaomba uturushie video nyingine ya nyanya zako tuzione zenyewe kwa ukubwa huo kwenye mche. Kuona ni kuamini mkuu na kuamini hukufanya kuchukua hatua kwa kujua hii inawezekana. Wasalam
Nikitaka kuja ku chukua mafunzo hapo dar itanigharimu kiac gani mmkuu mimi npo arusha
hio tarehe itatangazwa wapi mkuu, tuwe stand byNjoo tarehe mwisho wa Jan kutakuwa na smina nyingine, tutatangaza tarehe soon
hio tarehe itatangazwa wapi mkuu, tuwe stand by
semina liniTunasubiri semina
Tunasubiri semina
Tunashukuru kaka. Tunaisubiri kwa hamu sanaKutakuwa na semina nyingine ya kufundisha kilimo cha kisasa ktk hilo shamba hapo ktk hiyo video. Itafanyika trh 6 march eneo la kibaha. Kwa semina hii kutakuwa hakuna kiingilio ni wewe tu kujilipia nauli yako. Tunafanya hv kwa maombi ya watu wengi