Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

Biashara2000 hongera Mimi naitwa sam nipo Misungwi mwanza for sure nimekuwa interested na comment zako mimi ni mwl by proffession ila nipo interested na kilimo especially nynya na tikiti hope utakuwa msaada mkubwa kwangu my email is mpeazant@yahoo.com my phone no 0759289966 again congratulation
 
Kaka Biashara2000..nahitaji kuwasiliana na wewe namba yangu ni 0713 190 118
 
Habari kaka. Tunaomba uturushie video nyingine ya nyanya zako tuzione zenyewe kwa ukubwa huo kwenye mche. Kuona ni kuamini mkuu na kuamini hukufanya kuchukua hatua kwa kujua hii inawezekana. Wasalam

Ntairusha kesho kaka
 
Mara ya mwisho tuliongea ukiwa morogoro mimi dar na ukaniahidi kuwa utanifafuta ukija dar
Kumbe umekuja kutoa semina bila hata kunitaarifu

Nimechukia kwa kuwa nina nia ya kulima nyanya
 
Mkuu nimevutiwa na jinsi unavyohamasisha sisi vijana tunaotaka kujiajiri,hongera sana. Mimi naishi ifakara na napenda niweze kupata ufafanuzi vizuri jinsi ya kulima nyanya na gharama zake kilimo ni cha nje tu. Ila sina mtaji mkubwa. Naomba ushirikiano wako kuna namba ya voda nimeiona nitakupigia tuongee. Kazi njema
 
umesema mmea mmoja unatoa kilo 15 kwa mwezi na kwa mavuno ya miezi 8 ,ina maana mmea mmoja kwa miezi nane utatoa kilo 120? Au mimi ndo sijaelewa.
 
Nikitaka kuja ku chukua mafunzo hapo dar itanigharimu kiac gani mmkuu mimi npo arusha
 
Kwa formula yako, unahitaji kupima udongo na maji kabla ya kujua nini kifanyike? Unatumia mbolea na pesticides za aina gani? Greenhouse yako ya chuma ni ya ukubwa gani na bei gani kuitengeneza?
 
Kutakuwa na semina nyingine ya kufundisha kilimo cha kisasa ktk hilo shamba hapo ktk hiyo video. Itafanyika trh 6 march eneo la kibaha. Kwa semina hii kutakuwa hakuna kiingilio ni wewe tu kujilipia nauli yako. Tunafanya hv kwa maombi ya watu wengi
 
Kutakuwa na semina nyingine ya kufundisha kilimo cha kisasa ktk hilo shamba hapo ktk hiyo video. Itafanyika trh 6 march eneo la kibaha. Kwa semina hii kutakuwa hakuna kiingilio ni wewe tu kujilipia nauli yako. Tunafanya hv kwa maombi ya watu wengi
Tunashukuru kaka. Tunaisubiri kwa hamu sana
 
Back
Top Bottom