Tour in Zanzibar

Akhi

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2021
Posts
3,380
Reaction score
5,906
Nawasalimu wakubwa na wadogo zangu

Mimi ni kijana wa kitanzania Mzalendo ambae napenda kujishughulisha na kupata rizki ya halali

Kwa Ambae anatamani kuja Kutembea Zanzibar ila anapata shida mbalimbali naomba wasiliana nami utatembezwa Zanzibar kwa bei nafuu sana mm ni mwenyeji wa Zanzibar na Bara pia nimeshakaa kwaio hua nawaona watu wanavohangaika wakitaka kuja Kutembea Zanzibar

Gari zipo mbili zenye uwezo wa kubeba watu 8 kwaio hata kama una familia hakuna shida yoyote mtatembezwa sehemu nyingi tu

Pia najua Jamii forum ni sehemu ya privacy kwaio hilo nalo pia linazingatiwa sana

Ni mtu makini na muaminifu sana hata kama utaleta familia ww uendelee na kazi zako hakika familia itafurahi tu

Kwa Ambae anahitaji mawasiliano PM nitampa
 
Nakuja PM kijana. Mwezi wa 10 nataka kuja Zanzibar.

Nitatokea Dar, nitakaa nights 2, na days 3 nitataka kuzunguka sana hapo Zanzibar, ila budget isiwe kubwa.

Kwa manufaa ya wengine utaweza nipangia route na estimated budget?

Au nije PM?
 
Budget itaendana na sehemu unazotaka kwenda

Route zipo nyingi sana ni wewe tu unataka kwenda wapi

Fumba town kwa bakhresa!
Kizimkazi kwa Mama Samia!
Stone town hapa ukitaka kufaidi utembee kwa mguu

Yani inshort route zipo ni ww tu
 
Nakuja PM
 
Kwa upande wangu nishatembelea mbuga za wanyama kama

Arusha National Park

Manyara National Park

Mikumi National Park

Inshort kuna furaha yake ya Kutembea sehemu ngeni unaliwaza mwili unaipumzisha akili n.k
 
Fafanua ata rough bajeti mtu awe na kiasi gani akija huko, maeneo ya kawaida kula na kulala kwa night mbili inakuwaje?
 
Fafanua ata rough bajeti mtu awe na kiasi gani akija huko, maeneo ya kawaida kula na kulala kwa night mbili inakuwaje?
Kwa upande wa Malazi guest nzuri kwa huku bei yake ni 35k

Usafiri wa kuja Zanzibar kwa boat ni 30k kwa economy class na 65k kwa Business class na 150k kwa VIP class

Kwa usafiri wa ndege kutoka dar kuja Zenji ni 150k

Ukitaka hotel bei ya chini ni 50k inshort bei za malazi hazitofautiani sana na huko bara

Kwa upande wa chakula inategemea na ww ulaji wako ila kwa Zanzibar vyakula ni bei kidogo kulinganisha na bara bcz vyakula ni imported from Bara

Mfano kwa safari ya Nungwi from town usually ni 80k pia maelewano yapo

Ukichanganua hizo gharama hapo utaweza kujua kua unaweza kujipanga kwa kiasi gani na safari ya Zanzibar
 
imeka ugwede hii. nilifika zenj mara 1 bado nataman kuja tena.nilifika prison island nilipapenda
 
Huduma bado zipo waungwana

Karibuniii
 
Hotel ambapo naweza pata kwa ajili ya familia mtoto mmoja wa kiume na mke wangu tu itagharimu kiasi gani ?
 
Hotel ambapo naweza pata kwa ajili ya familia mtoto mmoja wa kiume na mke wangu tu itagharimu kiasi gani ?
Kwa bei za hoteli nilishasema kua chumba cha bei ya chini ni Elfu 50 sasa apo itabdi mchukue vyumba viwili ambavyo ni laki moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…