Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 3,380
- 5,906
Nawasalimu wakubwa na wadogo zangu
Mimi ni kijana wa kitanzania Mzalendo ambae napenda kujishughulisha na kupata rizki ya halali
Kwa Ambae anatamani kuja Kutembea Zanzibar ila anapata shida mbalimbali naomba wasiliana nami utatembezwa Zanzibar kwa bei nafuu sana mm ni mwenyeji wa Zanzibar na Bara pia nimeshakaa kwaio hua nawaona watu wanavohangaika wakitaka kuja Kutembea Zanzibar
Gari zipo mbili zenye uwezo wa kubeba watu 8 kwaio hata kama una familia hakuna shida yoyote mtatembezwa sehemu nyingi tu
Pia najua Jamii forum ni sehemu ya privacy kwaio hilo nalo pia linazingatiwa sana
Ni mtu makini na muaminifu sana hata kama utaleta familia ww uendelee na kazi zako hakika familia itafurahi tu
Kwa Ambae anahitaji mawasiliano PM nitampa