Nadhani kwa vivutio vichache tu hivyo ramani imeonekana. Hatuhitaji kuwa na single visa. Wenyewe waendelee na ya kwao.
Halafu message sent. Wameanza kuonesha heshima.
Ok. Nitafanya hivyo baadae.
Safi sana mkuu. Furahia maisha kwa nafasi yako.Assnte sana, ukiamua kunipendelea mimi naomba uweke walau majina ya hotels mbili tatu kwenye vuvutio hivi ili hata nikiwagugo nitafute contact za hizo hotels direct na sio kupitia tanapa au dalali ambapo anaongeza cha juu.
Shukrani kwa kunikuna maana ndo maeneo ambayo napenda jivinjari nikiwa na wangu mwandani.
Nakubali havyo vifutio lakini, mbona watalii wengi hupenda Kenya hata kama kuna tishio za kigaidi? Huku Tanzania hamna vizuizi kama hivyo na bado hamjafikia Kenya kwa watalii??Kaporogwe Falls
View attachment 444958
Kaporogwe Falls — Tanzania Tourism
Haya ni maporomoko ya maji yako mkoa wa Mbeya.
Sasa tatizo lako ni nini?Nakubali havyo vifutio lakini, mbona watalii wengi hupenda Kenya hata kama kuna tishio za kigaidi? Huku Tanzania hamna vizuizi kama hivyo na bado hamjafikia Kenya kwa watalii??
View attachment 445094
Kenya has the most beautiful waterfalls, the fourteen falls and Thomson has been a tourist attraction for many years!! look at the waterfalls just in Nairobi city! Karura Forest and ThikaKaporogwe Falls
View attachment 444958
Kaporogwe Falls — Tanzania Tourism
Haya ni maporomoko ya maji yako mkoa wa Mbeya.
Wewe kwa mambo ya vivutio vya kitalii huwezi kuisogelea TZ.Kenya has the most beautiful waterfalls, the fourteen falls and Thomson has been a tourist attraction for many years!! look at the waterfalls just in Nairobi city! Karura Forest and Thika
Karura Falls - Nairobi
Tigoni Falls - Nairobi (Limuru)
Blue post Hotel Falls- Thika
Fourteen Falls - Thika Nairobi
Thomson falls - Thika Nairobi
That is Just Nairobi alone, The real beautiful ones are scattered all over mount Kenya, Elgon, Nyandarua, Riftvalley, Ngong Taita, Kyulu etc!! Uncountable!!