Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Assnte sana, ukiamua kunipendelea mimi naomba uweke walau majina ya hotels mbili tatu kwenye vuvutio hivi ili hata nikiwagugo nitafute contact za hizo hotels direct na sio kupitia tanapa au dalali ambapo anaongeza cha juu.
Shukrani kwa kunikuna maana ndo maeneo ambayo napenda jivinjari nikiwa na wangu mwandani.
Shukrani kwa kunikuna maana ndo maeneo ambayo napenda jivinjari nikiwa na wangu mwandani.