Tourist Attractions in Tanzania East Africa

Tourist Attractions in Tanzania East Africa

Assnte sana, ukiamua kunipendelea mimi naomba uweke walau majina ya hotels mbili tatu kwenye vuvutio hivi ili hata nikiwagugo nitafute contact za hizo hotels direct na sio kupitia tanapa au dalali ambapo anaongeza cha juu.
Shukrani kwa kunikuna maana ndo maeneo ambayo napenda jivinjari nikiwa na wangu mwandani.
 
Mount Ol Doinyo Lengai
Ol Doinyo Lengai - Wikipedia

Ni mlima wenye volcano iliyo hai. Ipo mkoa wa Arusha kusini mwa ziwa natron. Unaweza kwenda kutembelea na kujifunza mambo ya kijiografia.
UMASKINI TANZANIA_ Ol Doinyo Lengai MLIMA WA MUNGU uliopo tanzania ___.jpg
 
RUAHA NATIONAL PARK
Ruaha National Park — Tanzania Tourism
Ni mbuga ambayo ipo mkoa wa iringa. Inasifika kwa kuwa na wanyama aina ya Greater kuda ambao hawapatikani mbuga yoyote Africa mashariki. Tembelea Ruaha ujionee maajabu.
The greater kudu (Tragelaphus strepsiceros) _ pgcps mess - Reform ___.jpg
Ruaha-National-Park-elephants-drinking-by-Ruaha-River.jpg
Ruaha National Park - Karibu World.jpg
 
Nadhani kwa vivutio vichache tu hivyo ramani imeonekana. Hatuhitaji kuwa na single visa. Wenyewe waendelee na ya kwao.

Halafu message sent. Wameanza kuonesha heshima.
 
Nadhani kwa vivutio vichache tu hivyo ramani imeonekana. Hatuhitaji kuwa na single visa. Wenyewe waendelee na ya kwao.

Halafu message sent. Wameanza kuonesha heshima.

bao hujanipendelea ombi langu.....
 
Nitatupia picha siku ya weekend. Nyingi tu na contact za kila sehemu. Ngoja nikusanye data.
 
Kesho nitaendelea kutoa uzuri wa TZ
 
Assnte sana, ukiamua kunipendelea mimi naomba uweke walau majina ya hotels mbili tatu kwenye vuvutio hivi ili hata nikiwagugo nitafute contact za hizo hotels direct na sio kupitia tanapa au dalali ambapo anaongeza cha juu.
Shukrani kwa kunikuna maana ndo maeneo ambayo napenda jivinjari nikiwa na wangu mwandani.
Safi sana mkuu. Furahia maisha kwa nafasi yako.
 
Kaporogwe Falls
View attachment 444958
Kaporogwe Falls — Tanzania Tourism

Haya ni maporomoko ya maji yako mkoa wa Mbeya.
Kenya has the most beautiful waterfalls, the fourteen falls and Thomson has been a tourist attraction for many years!! look at the waterfalls just in Nairobi city! Karura Forest and Thika
Karura Falls - Nairobi
Karura-Forest-Nairobi.jpg

dsc_0369.jpg

Tigoni Falls - Nairobi (Limuru)
dsc_0209.jpg

Blue post Hotel Falls- Thika
chania-falls.jpg

waterfall-2.jpg

Fourteen Falls - Thika Nairobi
100052632.RskE0sfb.27.jpg

Thomson falls - Thika Nairobi
img_1397.jpg

That is Just Nairobi alone, The real beautiful ones are scattered all over mount Kenya, Elgon, Nyandarua, Riftvalley, Ngong Taita, Kyulu etc!! Uncountable!!
 
Wewe kwa mambo ya vivutio vya kitalii huwezi kuisogelea TZ.
Halafu maji huwa ni maji tu. Unaweza weka effect kwenye picha kujifurahisha tu. Halafu ujue nimekuwekea vivutio vichache mno. TZ kuna zone nne za vivutio. Southern zone ndio yenye vivutio vingi. Kwa upande wa beaches na islands huwezi gusa.
Kule kenya your almost nothing. Hakuna kivutio kilichopo kenya TZ hakuna.
Lakini kuna vivutio vingi mno vipo TZ kenya hakuna.
Wewe jipe sifa tu lakini sisi tunaongea facts
 
Back
Top Bottom