Kuna mambo si vema kuyajadili hapa kwa sababu za kibiashara na nyinginezo nyeti.
Bora niwe mpole tu, lakini amini nakuambia there was and there is more than DDoS, hiyo DDoS is what ordinary people notice easily.
Wakati wa ugonjwa flani miezi ya karibuni watu wamedukuliwa sana kiasi kwamba hao waduakuaji wangetaka ku-hijack hizi website na device zenu wangefanya hivyo kirahisi tu kama kunywa chai.
Wadukuaji wa kweli wakitaka kudukua hakuna website ya kibongo ya kuwazuia kufanya hivyo, Tigo ni kwamba imetokea tu kwao wawe wa mfano mahali pa hackers kuonesha umahili wao.
Mwananchi walidukulwa siku hizo za ugonjwa wa mafua makali na hackers wakaacha ujumbe wao kwa kiingereza broken. Tigo is just another victim tu, wakenya wa daily nation walishindwa kulinda tovuti ya gazeti la mwananchi.