Tovuti ya Tigo Tanzania yadukuliwa, wadukuzi wadai malipo (Ransom) ili waiachie

Tovuti ya Tigo Tanzania yadukuliwa, wadukuzi wadai malipo (Ransom) ili waiachie

Hii haihalalishi Tigo Kudukuliwa

You mean kuwa na exposure na masuala ya ICT ni kutojua kuwa kudukuliwa ni uzembe? Ndio maana watu wanasoma Cyber Security.
Ulimwengu was ICT hakuna mtaalamu kuzid kila kukicha watu wanagundua mbinu mpya na ndo mana mpaka website ya selikal ya USA ilidukuliwa

Kampuni pia apple Kuna simu ilidukuliwa na dogo akadakwa
 
Wewe ni mgeni humu JF?
Kila mwaka wa uchaguzi mkuu ile siku ya kupiga na kuhesabu kura JF inashambuliwa.
Wakati wa maandamano flani ilishambuliwa.

Google, Yahoo, Hotmail na nyingine zimeshawahi kudukuliwa mara kadhaa na password za mamilioni ya watumiaji wake worldwide zilikuwa mikononi mwa wadukuaji.
Kwanza nenda kwenye Find out if you’ve been part of a data breach ukakague email account yako kama haijadukuliwa ndani ya miaka 15 hii.
Shambuli la JF hua ni DDoS Attack .. sio kama hilo la Tigo. Kabla ya kuniambia sijui JF ulitakiwa uniulize nikuchambulie kila aina ya attack.. na ningekueleza why nasema tigo ni wazembe na sio kwamba wamezidiwa.. Dunia hii uwezi fanya code kizembe zembe watu wasikuzingue
 
.tu anayekushambulia kwa njja ya ddos anaweza kjbadilisha aina ya mashambulizi usijiaminishe egi huwa ni DDOS TU.
 
Hao wadukuzi ni wajinga sana kudukua tigo. Kwanini wasidukue mabenki ya dunia wakachota matrilioni?
 
Wakati nipo chuo nchini india recturer alituletea habari 2 zilizonishtua sana. 1 ni ya Hamza Bendelladj jamaa aliye hack mabank zaidi ya 200 na kujilipa kiasi cha fedha kikubwa sana kama dola molioni 280. Na ingine ambayo mwalimu wangu alishirikishwa naye ni alikuwa hacker walihack system ya nchi fulani siwezi kuitaja hapa na kuiendesha hiyo nchi kwa siku 5 kwa maana ya malipo na vitu vingine mpaka walipopewa chao.
 
Hawajakamatwa?hawakukamatwa? Baada ya hayo matukio?
 
Huyu hacker ni mbongo tu hata kingereza hajui.."your website have been"
Haijalishi anajua kiingereza au hajui ndo kashadukua tayari. Pia kuna nchi zingine nyingi hazitumii kiingereza na hawajui kiingereza.
 
Mkuu,Jambazi akija kwako na kukuvamia hata kama wewe ni askari ni uzembe?
Jilinde kabla ya yote | Mfano wewe naona hapo kwenye signature unatumia Yahoo tukikueleza Yahoo si salama utabisha.
 
Haimaanishi hakuna njia za kujilinda
Pia ukijilinda haimaanishi kuwa huwezi kuvamiwa na kuathiriwa.

haya mambo ya computer yako very complicated, wewe na Anti virus yako ndani ya PC bado unakumbana na shughuli za virus.
 
Acha hiyo kampuni ya Tigo, USA yenyewe hudukuliwa na wabobezi wa North Korea pamoja na Iran.
Mnawapa credit za bure wairan na wakorea. Hushpuppy ni Mnaijeria na alitajirika kwa kazi hiyo, sema tu alianza kujionyesha mno mitandaoni
 
Mnawapa credit za bure wairan na wakorea. Hushpuppy ni Mnaijeria na alitajirika kwa kazi hiyo, sema tu alianza kujionyesha mno mitandaoni
Mkuu mbona wateseka hivyo kuwasikia waNorth Korea na waIrani kama wadukuzi wa US?

Kwani mie ndio wa kwanza kuyaongea? Mbona Trump amekuwa akilialia mno kuhusu hao NK na Iran ? Au wewe una maarifa zaidi na intelijensia kuliko Trump na mashirika yake ya kijasusi?

Halafu kwani nilipotaja hizo nchi mbili ndio nimefunga mlango kuwa hapajawahi tokea wadukuzi wa nchi nyinginezo wakadukua US?
 
Shambuli la JF hua ni DDoS Attack .. sio kama hilo la Tigo. Kabla ya kuniambia sijui JF ulitakiwa uniulize nikuchambulie kila aina ya attack.. na ningekueleza why nasema tigo ni wazembe na sio kwamba wamezidiwa.. Dunia hii uwezi fanya code kizembe zembe watu wasikuzingue
Kuna mambo si vema kuyajadili hapa kwa sababu za kibiashara na nyinginezo nyeti.
Bora niwe mpole tu, lakini amini nakuambia there was and there is more than DDoS, hiyo DDoS is what ordinary people notice easily.

Wakati wa ugonjwa flani miezi ya karibuni watu wamedukuliwa sana kiasi kwamba hao wadukuaji wangetaka ku-hijack hizi website na device zenu wangefanya hivyo kirahisi tu kama kunywa chai.

Wadukuaji wa kweli wakitaka kudukua hakuna website ya kibongo ya kuwazuia kufanya hivyo, Tigo ni kwamba imetokea tu kwao wawe wa mfano mahali pa hackers kuonesha umahili wao.

Mwananchi walidukuliwa siku hizo za ugonjwa wa mafua makali na hackers wakaacha ujumbe wao kwa kiingereza broken. Tigo is just another victim tu, wakenya wa daily nation walishindwa kulinda tovuti ya gazeti la mwananchi.
 
Back
Top Bottom