Tovuti ya Tigo Tanzania yadukuliwa, wadukuzi wadai malipo (Ransom) ili waiachie

Tovuti ya Tigo Tanzania yadukuliwa, wadukuzi wadai malipo (Ransom) ili waiachie

Hao Tigo hata backup ya kuanzisha system nyingine wanayo?

Maana hapa kuna kuna disaster recovery na business continuity.

Ina maana wamepigwa mpaka DR servers? Au hawana DR servers?

In any case. Kuwalipa hao watu kutawapa kichwa na mtaji wafanye huo ushenzi wao zaidi tu.

Wajipange kuwapotezea na kuendelea upya kama wabongo walivyoipotezea Corona.
 
Usicheze na HACKERS! Hao wana uwezo wa kudukua makampuni mbali mbali makubwa duniani na kuondoka na $$$ in millions kama ransom itakuwa kampuni ndogo kama Tigo?
Hao jamaa ni hatari sana na ni tishio kubwa sana kwa makampuni mengi duniani.

Habari wanaJF,

Website ya Mtandao Mkubwa wa Mawasiliano wa Tigo Tanzania yadukuliwa na inaonekana wadukuzi wanadai Ransom ili waweze kuwaachia.

Shambulio hili limetekelezwa kwa kufunga encrypt taarifa zote na ili ziwe decrypted ni lazima kiasi cha fedha kilipwe. Hata hivyo hakuna uhakika kuwa hata mkilipa fedha basi tovuto itaachiwa, jamaa wanaweza kugeuza mtaji na wakawa wanawachezea kila wakati.

> Idara ya ICT ya Tigo ilikwama wapi? Ingawa shambulio linaweza kuwa limetekezwa kupitia kifaa kimoja wapo cha mfanyakazi.

> Elimu ya usalama wa kidigitali ni muhimu sana kwenye haya makampuni kuanzia ngazi ya juu hadi kwa wafanyakazi.

View attachment 1542657
 
Makampuni mengi bongo kwenye IT ni ovyo......cheap labour na kujuana kwingi....acha wanyooshwe kwa izo bitcoin
 
Usicheze na HACKERS! Hao wana uwezo wa kudukua makampuni mbali mbali makubwa duniani na kuondoka na $$$ in millions kama ransom itakuwa kampuni ndogo kama Tigo?
Hao jamaa ni hatari sana na ni tishio kubwa sana kwa makampuni mengi duniani.
Leo kuna kitu kinaendelea Google huko. Kuna outages si za kawaida. Pia kuna ma serverless botnet yamevamia SSH servers kibao.

Jamaa wanasumbua dunia nzima. Ila kwa Kibongobongo wanakuta admin ana server la IIS lina more holes than Swiss cheese halafu halijafanyiwa patching mwaka.

Hapo unawaalika tu waje kukufanyia mbaya.

Nilishapata purukushani na watoto wa Kituruki zamani sana. Wali deface IIS server yangu. Frontpage. Ila nilikuwa nina automated monitoring ikani alert mara moja. Kwa hiyo hawakuweza kufika mbali sana kwa sababu nilikuwa na layered security. Nikajifunza kwamba haya mambo si mchezo.
 
Leo kuna kitu kinaendelea Google huko. Kuna outages si za kawqida. Pia kuna ma serverless botnet yamevamia SSH servers.

Jamaa wanasumbua dunia nzima. Ila kwa Kibongobongo wanakuta admin ana server la IIS lina more holes than Swiss cheese halafu halijafanyiwa patching mwaka.

Hapo unawaalika tu waje kukufanyia mbaya.

Nilishapata purikushani na watoto wa Kituruki zamani sana. Wali defqce IIS server yangu. Lakini hawakuweza kufika mbali sana kwa sababu nilikuwa na layered security. Nikajifunza kwamba haya mambo si mchezo.

Leo hata Gmail ilikuwa ina tatizo sana ..
 
Mwingine alidukua KFC akijipa premium membership akawa anakula mabawa ya ndege na vibanzi kwa muda mrefu sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji182][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Leo hata Gmail ilikuwa ina tatizo sana ..
Kuna file la kitabu kama 10 MB nilikuwa natuma na Gmail. Kawaida ni kitu cha mara moja tu.

Leo imenibidi nirudie mara nne ndiyo nikaweza kutuma.

Kuna watu wengine hawana connection kabisa.
 
Kuna siku nilikaa siku Tatu nasubiri network irudi Akiba Cormecial Bank..
Siku Tatu...imagine that..


Niliwahi uliza why kuna bank network ni shida sana nikajibiwa hawataki kuajiri watu wa IT walioiva...na wakiajiri wanawalipa kidogo sana..


Sasa kampuni kama Tigo na voda Tz zinapenda mno cheap labour...
Lazima yawakumbe haya mambo
Hii kitu hata serikalini ni hivyohivyo, watu wa IT ukiona mishahara ya utacheka so wanaobaki ni wale vilaza tuu..
 
Mbona JF haidukuliwili ? Kuna wanao dukuliwa kwa kuzidiwa na wanao dukuliwa kwa uzembe.. Tigo huo ni uzembe na sio kwamba wamezidiwa
Wewe ni mgeni humu JF?
Kila mwaka wa uchaguzi mkuu ile siku ya kupiga na kuhesabu kura JF inashambuliwa.
Wakati wa maandamano flani ilishambuliwa.

Google, Yahoo, Hotmail na nyingine zimeshawahi kudukuliwa mara kadhaa na password za mamilioni ya watumiaji wake worldwide zilikuwa mikononi mwa wadukuaji.
Kwanza nenda kwenye Find out if you’ve been part of a data breach ukakague email account yako kama haijadukuliwa ndani ya miaka 15 hii.
 
Sasa Brother JF Taarifa zake sio potential Brother; Achana na hiyo Serikali Yenu huko Tz inayotaka kupata Taarifa za JF kwa maslahi yasio ya Kifedha.
Hack it Does Cost Money, Time Etc; Hizo kampuni nilizozitaja hapo juu, especially Ebay na Hertland zilikuwa na Information za Kifedha, na Most of Them zina Valid information, Names, Address Etc
Achana na Hii JF Ambayo watu wanatumia Fake ID, Fake Email; Ni Serikali yangu Tz tu ndo itangangania taarifa za Hivyo; Kumbuka JF sio Global Kiivyo Brother; huwezi fanya Comparison na FB, Insta, WhatsApp; So Kama naidharau no; Ila in Comparison to Potentiality kuvutia Serious Hacker bado iko low profile
Watu wanashindwa kujua JF ni forum tu na ziko maelfu kwa maelfu.
Na ajabu wakija kuzijua watashangaa ziko similar na JF kwa 99%
 
Back
Top Bottom