Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haimaanishi pia kua hakuna njia za kudukuliwaHaimaanishi hakuna njia za kujilinda
Jamaa anachoshindwa kujua ni kwamba,Hackers huwa ni watu wana akili na utaalamu wa hali ya juu sana,na huwa hawana haraka na kazi yao,wanaweza ku study security gap kwenye system hata kwa mwaka mzima.Mkuu,Jambazi akija kwako na kukuvamia hata kama wewe ni askari ni uzembe?
Hii haihalalishi Tigo Kudukuliwa
You mean kuwa na exposure na masuala ya ICT ni kutojua kuwa kudukuliwa ni uzembe? Ndio maana watu wanasoma Cyber Security.
Huyu kijana nilimsikia kama walimuajiri hivi au nimekoseaKuna mwana IT expert kijana wa Sud Africa aliingiza information zake taasisi flani ya serikali kama mfanyakazi na akawa analipwa mshara wakati yeye simfanyakazi.
Dunia ikiwa na watu watata ndo itazidi kusonga mbele.
unajiajiri bila ajira[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mwana IT expert kijana wa Sud Africa aliingiza information zake taasisi flani ya serikali kama mfanyakazi na akawa analipwa mshara wakati yeye simfanyakazi.
Dunia ikiwa na watu watata ndo itazidi kusonga mbele.
Jamaa alikula mshahara mwaka mzima.wakaja kumshtukia keshatoa na shavu.unajiajiri bila ajira[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa si adukue vifurushi agawe Gb 50 kwa kila mtumiaji
Huwenda walimpa ajira.kuna msemo usemao"mpe mchawi ukulelee mwanao"Huyu kijana nilimsikia kama walimuajiri hivi au nimekosea
Wanataka Billion 8 duuh