Unafikiri alikuwa peke yake au na wenzie walikuwa wote wanaijeria?Mnawapa credit za bure wairan na wakorea. Hushpuppy ni Mnaijeria na alitajirika kwa kazi hiyo, sema tu alianza kujionyesha mno mitandaoni
Unacho ongea ni sahihi, lakini nilichokuwa namaanisha hujakilewa. Nilarudi tigo ni wazembe, na sio kwamba wamezidiwa. Ukitafakari hapa utapa point yangu, ila kama unasoka juu juu, hatuto elewanaKuna mambo si vema kuyajadili hapa kwa sababu za kibiashara na nyinginezo nyeti.
Bora niwe mpole tu, lakini amini nakuambia there was and there is more than DDoS, hiyo DDoS is what ordinary people notice easily.
Wakati wa ugonjwa flani miezi ya karibuni watu wamedukuliwa sana kiasi kwamba hao waduakuaji wangetaka ku-hijack hizi website na device zenu wangefanya hivyo kirahisi tu kama kunywa chai.
Wadukuaji wa kweli wakitaka kudukua hakuna website ya kibongo ya kuwazuia kufanya hivyo, Tigo ni kwamba imetokea tu kwao wawe wa mfano mahali pa hackers kuonesha umahili wao.
Mwananchi walidukulwa siku hizo za ugonjwa wa mafua makali na hackers wakaacha ujumbe wao kwa kiingereza broken. Tigo is just another victim tu, wakenya wa daily nation walishindwa kulinda tovuti ya gazeti la mwananchi.
"there was and there is more than DDoS, hiyo DDoS is what ordinary people notice easily."Kuna mambo si vema kuyajadili hapa kwa sababu za kibiashara na nyinginezo nyeti.
Bora niwe mpole tu, lakini amini nakuambia there was and there is more than DDoS, hiyo DDoS is what ordinary people notice easily.
Wakati wa ugonjwa flani miezi ya karibuni watu wamedukuliwa sana kiasi kwamba hao waduakuaji wangetaka ku-hijack hizi website na device zenu wangefanya hivyo kirahisi tu kama kunywa chai.
Wadukuaji wa kweli wakitaka kudukua hakuna website ya kibongo ya kuwazuia kufanya hivyo, Tigo ni kwamba imetokea tu kwao wawe wa mfano mahali pa hackers kuonesha umahili wao.
Mwananchi walidukulwa siku hizo za ugonjwa wa mafua makali na hackers wakaacha ujumbe wao kwa kiingereza broken. Tigo is just another victim tu, wakenya wa daily nation walishindwa kulinda tovuti ya gazeti la mwananchi.
Mupo sio[emoji3]View attachment 1542673
Tuko katika malekebisho kidogo wateja wetu [emoji16][emoji2099][emoji2099] Huduma itarejea hivi punde.
Tigo Love it, Live it
Tigo Simu au Tigo nini mkuu?Inamaana kwa sasaivi haturuhusiwi kutumia tigo pesa ama