Kenya 2022 Towards Kenya's August 2022 election, Ukabila is at its peak!

Kenya 2022 General Election
Sishangai, ukabila will never end in Kenya...nasema never!
Kisa nini, hiyo video ambayo najua bila shaka kwamba hujaelewa chochote kinachozungumziwa hapo? Au kwasababu tu rais U.K amezungumza kwa Kikikuyu kisha ukaambiwa na mzee Geza kwamba alikuwa anaendeleza ukabila?

Kwenye hiyo video hapo Uhuru alikuwa anakutana na viongozi kutoka eneo la Ml. Kenya. Licha ya kwamba eneo hilo lina watu wa makabila mengine, ambayo sio wakikuyu, wao wenyewe walimrai rais aongee kwa kikikuyu. Tena wakakata kabisa atumie kiswahili au kiingereza.

Agenda kuu ya mkutano huo ilikuwa ni rais Kenyatta kumpigia debe na kuwashawishi viongozi hao wamuunge mkono Raila, kwenye azimio lake la kuwa rais. Tangu jadi watu wa maeneo hayo na wale wa upande wa pili, kule magharibi mwa Kenya, huwa wana uhasama mkali wa KISIASA.
Kwa ufupi hapo rais alikuwa kwenye jitihada kali za kupunguza huo uhasama. Huku akiendeleza umoja wa wakenya, kumaanisha alikuwa akiupungia mkono ukabila, licha ya kwamba alizungumza kwa lugha asili.

Hadi sasa hivi Uhuru amefanikiwa kwa kiasi kikubwa na akapiga hatua kubwa sana. Ukizingatia kwamba anayemuunga mkono bado ndiye kiongozi rasmi wa upinzani. Yote yalianza na ile 'handshake' kati yao(rais UK na RAO), ambayo ilifanyika muda mfupi tu baada ya mmoja wao kujiapisha mwenyewe kama rais. Usikariri tu jombaa na kuishia kuhukumu bila kuelewa 'context' ya habari na video tofauti, ambazo huwa zinatupiwa humu.
 
Walimrai ndo nini?
 
MY TAKE
Watermelon is finished! I serious see him to be very selfish! It took EIBC to tell block him from his destructive attempt!
 
Back
Top Bottom