Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Uhuru
Turaireta mweimeti Meru..
Turaireta mweimeti Taraka Nyiti..
Sishangai, ukabila will never end in Kenya...nasema never!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhuru
Turaireta mweimeti Meru..
Turaireta mweimeti Taraka Nyiti..
Hahahaha wakenya wana vituko sana mnajua[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kisa nini, hiyo video ambayo najua bila shaka kwamba hujaelewa chochote kinachozungumziwa hapo? Au kwasababu tu rais U.K amezungumza kwa Kikikuyu kisha ukaambiwa na mzee Geza kwamba alikuwa anaendeleza ukabila?Sishangai, ukabila will never end in Kenya...nasema never!
Walimrai ndo nini?Kisa nini, hiyo video ambayo najua bila shaka kwamba hujaelewa chochote kinachozungumziwa hapo? Au kwasababu tu rais U.K amezungumza kwa Kikikuyu kisha ukaambiwa na mzee Geza kwamba alikuwa anaendeleza ukabila?
Kwenye hiyo video hapo Uhuru alikuwa anakutana na viongozi kutoka eneo la Ml. Kenya. Licha ya kwamba eneo hilo lina watu wa makabila mengine, ambayo sio wakikuyu, wao wenyewe walimrai rais aongee kwa kikikuyu. Tena wakakata kabisa atumie kiswahili au kiingereza.
Agenda kuu ya mkutano huo ilikuwa ni rais Kenyatta kumpigia debe na kuwashawishi viongozi hao wamuunge mkono Raila, kwenye azimio lake la kuwa rais. Tangu jadi watu wa maeneo hayo na wale wa upande wa pili, kule magharibi mwa Kenya, huwa wana uhasama mkali wa KISIASA.
Kwa ufupi hapo rais alikuwa kwenye jitihada kali za kupunguza huo uhasama. Huku akiendeleza umoja wa wakenya, kumaanisha alikuwa akiupungia mkono ukabila, licha ya kwamba alizungumza kwa lugha asili.
Hadi sasa hivi Uhuru amefanikiwa kwa kiasi kikubwa na akapiga hatua kubwa sana. Ukizingatia kwamba anayemuunga mkono bado ndiye kiongozi rasmi wa upinzani. Yote yalianza na ile 'handshake' kati yao(rais UK na RAO), ambayo ilifanyika muda mfupi tu baada ya mmoja wao kujiapisha mwenyewe kama rais. Usikariri tu jombaa na kuishia kuhukumu bila kuelewa 'context' ya habari na video tofauti, ambazo huwa zinatupiwa humu.