Kwanza Gari huwa linazimazima bila sababu hasa ukikanyaga E/P ukiwasha linawaka na hamna sign yoyote ile, utaendaaaaa then gari linakuwa na miss/ Nguvu hupugua then sign kwenye display/dash board hutokea, kunakialama/symbol/picha yenye mfano wa engine itatokea/ zingine huandika neno 'check engine'. Hapo sasa siku zako zinahesabikaa mimi nime experience kwenye Gari yangu Lexus IS200.Ni kweli Mkuu, japan lazima ubadilishe T/B gari ikifika laki 1 km. Lakini Mimi nilitamani kujua viashiria gani hutokea kwa gari yenye T/B iliyochoka? Je, gari kupoteza nguvu Na kuzimika ghafla ni viashiria vya T/B kuchoka?