Toyota 1G-FE 2.0L VVTi engine

Toyota 1G-FE 2.0L VVTi engine

1JZ 2JZ ni kiboko aise. Watu wengi wanaziogopa kwa cc zake, ila kama unampango wa kukaa na gari muda mrefu na kulifurahia, JZ engine ni nzuri saana.
Hizo ndio zipo kwenye Brevis, baadhi ya Verossa na Progres. zinaanzia cc 2500 mpaka 3500
 
Mimi natafuta Alteza toleo la 1999 yenye engine ya 1G-FE sijui pakoje kwenye performance...mwenye uzoefu.
 
Back
Top Bottom