becknature JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 665 Reaction score 825 Apr 14, 2024 #61 Alvin A. said: umeona eeeh, najaribu kuwaza nkiiuza nanunua gari gani yenye low fuel consumption , sitaki vitoto vya gari aisee Click to expand... Ig fe fuel consumption kwa mjini, highway inaendaje?
Alvin A. said: umeona eeeh, najaribu kuwaza nkiiuza nanunua gari gani yenye low fuel consumption , sitaki vitoto vya gari aisee Click to expand... Ig fe fuel consumption kwa mjini, highway inaendaje?
Mgagaa na Upwa JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 13,481 Reaction score 28,116 Jun 5, 2024 #62 RugambwaYT said: 1JZ 2JZ ni kiboko aise. Watu wengi wanaziogopa kwa cc zake, ila kama unampango wa kukaa na gari muda mrefu na kulifurahia, JZ engine ni nzuri saana. Click to expand... 1jz na 2jz sokoni ni shilingi ngapi kwa sasa?
RugambwaYT said: 1JZ 2JZ ni kiboko aise. Watu wengi wanaziogopa kwa cc zake, ila kama unampango wa kukaa na gari muda mrefu na kulifurahia, JZ engine ni nzuri saana. Click to expand... 1jz na 2jz sokoni ni shilingi ngapi kwa sasa?
Idimi JF-Expert Member Joined Mar 18, 2007 Posts 15,328 Reaction score 11,192 Sep 5, 2024 #63 RugambwaYT said: 1JZ 2JZ ni kiboko aise. Watu wengi wanaziogopa kwa cc zake, ila kama unampango wa kukaa na gari muda mrefu na kulifurahia, JZ engine ni nzuri saana. Click to expand... Hizo ndio zipo kwenye Brevis, baadhi ya Verossa na Progres. zinaanzia cc 2500 mpaka 3500
RugambwaYT said: 1JZ 2JZ ni kiboko aise. Watu wengi wanaziogopa kwa cc zake, ila kama unampango wa kukaa na gari muda mrefu na kulifurahia, JZ engine ni nzuri saana. Click to expand... Hizo ndio zipo kwenye Brevis, baadhi ya Verossa na Progres. zinaanzia cc 2500 mpaka 3500
RugambwaYT JF-Expert Member Joined Jan 11, 2014 Posts 1,397 Reaction score 1,899 Sep 5, 2024 Thread starter #64 Idimi said: Hizo ndio zipo kwenye Brevis, baadhi ya Verossa na Progres. zinaanzia cc 2500 mpaka 3500 Click to expand... Yes
Idimi said: Hizo ndio zipo kwenye Brevis, baadhi ya Verossa na Progres. zinaanzia cc 2500 mpaka 3500 Click to expand... Yes
R ruhi JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 4,368 Reaction score 6,661 Mar 6, 2025 #65 Mimi natafuta Alteza toleo la 1999 yenye engine ya 1G-FE sijui pakoje kwenye performance...mwenye uzoefu.
Mimi natafuta Alteza toleo la 1999 yenye engine ya 1G-FE sijui pakoje kwenye performance...mwenye uzoefu.