Toyota Alphard: Ubora na Mapungufu yake

Toyota Alphard: Ubora na Mapungufu yake

Zinakunywa sana mafuta... Sisi tunayo hapa home hakuna hata mwenye mpango nalo limekaa tu. Tunaliita jini yaana km 4 tu Lita 1 ishaisha. Mimi Nina kipasso changu ndo napigia misele ndugu zangu wengine Wana pikipiki zao maisha yanaenda. Mpaka itokee safari ya dharura ndo liwashwe Hilo jini Alphard
 
Ina injini gani? 4km/l mjini au high way?
Pelekeni hiyo gari kwa fundi mkuu!!
 
Zinakunywa sana mafuta... Sisi tunayo hapa home hakuna hata mwenye mpango nalo limekaa tu. Tunaliita jini yaana km 4 tu Lita 1 ishaisha. Mimi Nina kipasso changu ndo napigia misele ndugu zangu wengine Wana pikipiki zao maisha yanaenda. Mpaka itokee safari ya dharura ndo liwashwe Hilo jini Alphard
Hiyo mbovu
 
Changamoto kubwa ya Alphard ni body....
Body laini sana kulingana na ukubwa wa gari lenyewe...
Nilishuhudia imekwaeuza mahali.......

Alphard is a piece of trash kwa upande wa body
 
Kwa gari za Toyota Tanzania hakuna utakalo nunua wewe alafu usikute mtu mwingine akilitumia katika matumizi tofauti, labda uje na bugati,ferrali,lincilin etc
kuna Dada anapigia Tako La nyani biashara ya mboga mboga na chakula
 
Wadau napenda kuuliza mwenye kuijua zaidi Toyota Alphard. Atiririke tafadhali.
Toyota alphard zipo karibu generation 5 ingawa kwa Tanzania nyingi ni first generation kuanzia 2002 na zilizofanyiwa facelift 2005, second generation nimeziona ingawa sio nyingi
For first generation unaweza kupata utofauti kulingana na vigezo mbalimbali
Engine- zipo alphard zenye engine ya 2az 2360cc na engine ya mz 2990 cc
Matoleo- first generation zilitoka katika matoleo matatu tofauti alphard G, alphard V na alphard hybrid
Mawakala- zipo ziliotolewa na waka aitwae Netz na zingine zilitolewa na Toyopet
Drive- anh 10 2wd na anh 15 4wd
Seats- alphard with 7seats and with 8seats
Unique specification-alphard AS(sport model) and alphard AX non sport features
Starehe- AX with just common features and AXL with luxurious features like power door etc
Hivyo wakati wa kununua kuna vitu vingi vya kuzingatia
alphard means brightest star in Japanese language
 
Zinakunywa sana mafuta... Sisi tunayo hapa home hakuna hata mwenye mpango nalo limekaa tu. Tunaliita jini yaana km 4 tu Lita 1 ishaisha. Mimi Nina kipasso changu ndo napigia misele ndugu zangu wengine Wana pikipiki zao maisha yanaenda. Mpaka itokee safari ya dharura ndo liwashwe Hilo jini Alphard

thats a scania fuel consumption ndugu yangu

pelekeni hiyo gari kwa fundi chap
 
Back
Top Bottom