jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
Ukipata 14m njoo tukupe alphard nzuri ambayo hutajutia maisha yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina injini gani? 4km/l mjini au high way?Zinakunywa sana mafuta... Sisi tunayo hapa home hakuna hata mwenye mpango nalo limekaa tu. Tunaliita jini yaana km 4 tu Lita 1 ishaisha. Mimi Nina kipasso changu ndo napigia misele ndugu zangu wengine Wana pikipiki zao maisha yanaenda. Mpaka itokee safari ya dharura ndo liwashwe Hilo jini Alphard
Hiyo mbovuZinakunywa sana mafuta... Sisi tunayo hapa home hakuna hata mwenye mpango nalo limekaa tu. Tunaliita jini yaana km 4 tu Lita 1 ishaisha. Mimi Nina kipasso changu ndo napigia misele ndugu zangu wengine Wana pikipiki zao maisha yanaenda. Mpaka itokee safari ya dharura ndo liwashwe Hilo jini Alphard
Una yard au yako binafsi? Weka vizuri mdauUkipata 14m njoo tukupe alphard nzuri ambayo hutajutia maisha yako
Jamaa wanaipenda kwa sababu huto-incur tena gharama za lodge.Wadau napenda kuuliza mwenye kuijua zaidi Toyota Alphard. Atiririke tafadhali.
Hahaha. HatariiiiJamaa wanaipenda kwa sababu huto-incur tena gharama za lodge.
Kwa gari za Toyota Tanzania hakuna utakalo nunua wewe alafu usikute mtu mwingine akilitumia katika matumizi tofauti, labda uje na bugati,ferrali,lincilin etcUwanja wa ndege hapa jknia vimejaa kibao hivi vi hiace.
kuna Dada anapigia Tako La nyani biashara ya mboga mboga na chakulaKwa gari za Toyota Tanzania hakuna utakalo nunua wewe alafu usikute mtu mwingine akilitumia katika matumizi tofauti, labda uje na bugati,ferrali,lincilin etc
Toyota alphard zipo karibu generation 5 ingawa kwa Tanzania nyingi ni first generation kuanzia 2002 na zilizofanyiwa facelift 2005, second generation nimeziona ingawa sio nyingiWadau napenda kuuliza mwenye kuijua zaidi Toyota Alphard. Atiririke tafadhali.
Masanja yeye anauzia mchele.kuna Dada anapigia Tako La nyani biashara ya mboga mboga na chakula
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna Dada anapigia Tako La nyani biashara ya mboga mboga na chakula
Kwani inaenda kugongana na miti barabarani boss?Bodi laini sana.
Zinakunywa sana mafuta... Sisi tunayo hapa home hakuna hata mwenye mpango nalo limekaa tu. Tunaliita jini yaana km 4 tu Lita 1 ishaisha. Mimi Nina kipasso changu ndo napigia misele ndugu zangu wengine Wana pikipiki zao maisha yanaenda. Mpaka itokee safari ya dharura ndo liwashwe Hilo jini Alphard