RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,397
- 1,899
- Thread starter
-
- #221
Yes, kutoka kiwandani haina turbocharger. Bei nafikiri inategemea na aina ya kit unayoweka na fundi anayekuwekea. Kuna kits zinaanzia 2m 3m na kuendelea. Japo hizo za bei ndogo ni usumbufu.tu. Bora ubaki na 2JZso haiji na turbocharger toka kiwandani?kuweka turbo charger ni gharama kiasi gani?
Hehehee, 300hp ni kidogo mno aise. 2JZ unaweza ukaitune mpaka ukaikimbia wenyewe. Ni moja kati ya engine zinazovumilia power boost saana. Jamaa huwa wanafikisha mpaka 1000hp. Ila kwa kits nzuri za kawaidia, unaweza kupata 400hp na zaidi kirahisi kabisa.2JZ ukiongezea turbocharger mbili hapo horse power inaweza ikaongezeka hata kwa 300 hp
Mkuu, hilo dude kama unaliweza bei yake, chukua. Hilo ndio limetangaza jina ya 2JZ duniani. Kuna ambazo sio turbocharged, ndio 2JZ GE. Ila pia zipo ambazo ni turbocharged kutoka kiwandani. Ndio zina GTEuna maoni gani kuhusu Supra.hii nimeona engine code wameweka ni 2JZ nadhani ndo ile ile 2JZ GE.(nirekebishe kama nimekosea hapo).cc ni 2990 ila wheel drive wameweka dash sijaelewa wamemaanisha nini.cheki hapo chiniView attachment 1523189View attachment 1523191View attachment 1523192View attachment 1523193View attachment 1523194View attachment 1523195
hizo turbocharged toka kiwandani zitakuwa balaaa.bongo kuna mnyama watu wanamiliki Supra?Mkuu, hilo dude kama unaliweza bei yake, chukua. Hilo ndio limetangaza jina ya 2JZ duniani. Kuna ambazo sio turbocharged, ndio 2JZ GE. Ila pia zipo ambazo ni turbocharged kutoka kiwandani. Ndio zina GTE
Zipo aise. Kuna wabishi wanazo.hizo turbocharged toka kiwandani zitakuwa balaaa.bongo kuna mnyama watu wanamiliki Supra?
sema Supra na Gita engine ile ile tu 2JZ GTE ukipiga modificationsZipo aise. Kuna wabishi wanazo.
engine za 2JZ zinapatikana mtaani?Hehehee, hata mie mwanzo nilikuwa nakichukia kwa kweli. Ila with time nimegundua kinavutia. 2JZ safi saana. Kwanza ile engine kwa kweli, huwa haina shida za ajabu ajabu. Ukizoea mafuta yake, utaifurahia saana.
Yes. Hazitapishana saana.sema Supra na Gita engine ile ile tu 2JZ GTE ukipiga modifications
Zipo. Japo sio nyingi kivile.engine za 2JZ zinapatikana mtaani?
ila inawezekana kupatikana?bei yake inaweza ikawa kiasi gani?Zipo. Japo sio nyingi kivile.
kati ya Subaru na altezza ipi inafurahisha kuendesha?Yes. Hazitapishana saana.
Subaru model ipi boss?kati ya Subaru na altezza ipi inafurahisha kuendesha?
Kama haupo vizuri kimfuko chukua Altezza ya kawaida cc2000 yenye six cylinder engine ya 1G FE hii kidogo wese nafuu...sure.nimekupata.altezza ipi unaikubali?
1GFE inawezekana ukafanya modifications kuweka turbo?Kama haupo vizuri kimfuko chukua Altezza ya kawaida cc2000 yenye six cylinder engine ya 1G FE hii kidogo wese nafuu...
Usichukue ile ya four cylinder yenye injini y 3S yamaha yale majini
ImprezaSubaru model ipi boss?
Wrx Sti ndio nakua nayo impressed,zile nyingine hapana kwangu mimi boss.
vipi lakini engine ya wrxsti.unaikubali?Wrx Sti ndio nakua nayo impressed,zile nyingine hapana kwangu mimi boss.
Yes. Dsm utapata. Nafikiri inaweza kuanzia 1.5 au 2m.ila inawezekana kupatikana?bei yake inaweza ikawa kiasi gani?
Kama unamaanisha Legacy, then yuko vizuri kuliko Altezza. Na kuna Legacy turbocharged kutoka kiwandani. Ila Legacy za kisasa wamezingua, wanatumia CVT.kati ya Subaru na altezza ipi inafurahisha kuendesha?
Yes, ukishagusa STi hapo ni balaa.Wrx Sti ndio nakua nayo impressed,zile nyingine hapana kwangu mimi boss.