mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Yenye cylinder 4.ni altezza gani ina horsepower kubwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yenye cylinder 4.ni altezza gani ina horsepower kubwa?
inaonekana 2JZ GTE ndo mnyama mkali kwa upande wa altezza3S-GE ina nguvu sawa na 4GR-FSE ya mark X ...kile ki 1G hakuna kitu
ukija kwenye JZ engine series una hizi natural aspirated nakuna zile gte na get zenyewe ni turbo charged
sasa hizi 1JZ-FSE I6 2.5 na 2JZ-FSE I6 3.0 ni natural aspirated hazili mafuta sana na hazina tofauti ya ulaji wake
balaa lipo kwenyw hizi turbo charged 1JZ-GTE I6 2.5 turbo na 2JZ-GTE I6 3.0 turbo hizi ni more powerful wit huge room for mods and tuning zinakula mafuta balaa hizi
lazima nimpate huyo mnyama turbocharged 2JZ GTEKweli kabisa. 1G ni smooth tu vile ni inline 6. Ila 3S ina nguvu zaidi. Hizo turbocharged zinafaa saana kama unaendesha gari for fun. Ni umasikini tu unatusumbua, ila kuendesha gari lenye nguvu kuna raha yake aise
mzee altezza ipi yenye nguvu unaikubali?bila shaka ni turbocharged 2JZ GTEKweli kabisa. 1G ni smooth tu vile ni inline 6. Ila 3S ina nguvu zaidi. Hizo turbocharged zinafaa saana kama unaendesha gari for fun. Ni umasikini tu unatusumbua, ila kuendesha gari lenye nguvu kuna raha yake aise
hicho kisogo mimi ndo nakipenda kweliNadhani yenye hio kitu ya 2JZ itanifaa saaana, shida yangu na altezza gita ni kile kisogo/hatchback yani hapo hamu na ile gari hua inaisha mkuu.
ushanunua mzee?Hizi gari za alteza tokea zmetoka nazmezea mate Siku nyingi.
Maana mi mwnyw ni mpenzi sana was drifting.
Last 2 week nkawa napitia Fb na site mbalimbali nione kama naweza kumvua MTU...
tupe features za ukali wa 2JZ GTEmleta mada umemaliza kila kitu....
speaking of 2JZ-GTE umenikumbusha my late project car
Engine ya kwenye Altezza ni 2JZ GE, sio turbocharged GTE. Ila 2JZ ni rahisi kuimodify. Japo utaingia gharama nyingine.mzee altezza ipi yenye nguvu unaikubali?bila shaka ni turbocharged 2JZ GTE
Saloon RS200 yenye engine ya 3S GE ina nguvu ya kutosha. Hasa manual nafikiri ni 210hp. Inakaribiana na yenye 2JZ yenye 215hp. Ila yenyewe mafuta inatumia vizuri zaidi.ni altezza gani ina horsepower kubwa?
Powerseats ni seats ambazo unafanya adjustment kwa button ya umeme. Unagusa button seat inasogea au kulala. Sio zile za kuvuta chuma fulani kama nondo hapo mbele ya seat ili kuisogeza.powerseats na seat heaters ndo nini mzee?
Hizo unakuta jamaa wametune kwa kuziwekea turbocharger. Karibu engine zote za Altezza unaweza kuzitune.zile zenye uwazi kwenye bonnet ni engine gani ile?
Ni sport saloon. Yaani walivyoitune kuanzia gearbox inavyobadilisha gia, suspension system, tairi, seat ya dereva, uzito wa steering, ukiendesha unapata burudani. Unajisikia uko connected na gari na barabara. Hasa barabara yenye kona kona. Ni tofauti saana na saloon nyingine kama kina Premio na nyingine.unamaanisha nini unaposema altezza inafurahisha kuendesha?
Lita moja ni kati ya km5 mpaka 6 kwa mjini.hiyo yenye engine ya 2JZ inakula kiasi gani kwa km 1?
so haiji na turbocharger toka kiwandani?kuweka turbo charger ni gharama kiasi gani?Engine ya kwenye Altezza ni 2JZ GE, sio turbocharged GTE. Ila 2JZ ni rahisi kuimodify. Japo utaingia gharama nyingine.
suspension ya altezza ipoje? vipi kwenye ile kunesa nesa?Ni sport saloon. Yaani walivyoitune kuanzia gearbox inavyobadilisha gia, suspension system, tairi, seat ya dereva, uzito wa steering, ukiendesha unapata burudani. Unajisikia uko connected na gari na barabara. Hasa barabara yenye kona kona. Ni tofauti saana na saloon nyingine kama kina Premio na nyingine.
thank you for the informationNi sport saloon. Yaani walivyoitune kuanzia gearbox inavyobadilisha gia, suspension system, tairi, seat ya dereva, uzito wa steering, ukiendesha unapata burudani. Unajisikia uko connected na gari na barabara. Hasa barabara yenye kona kona. Ni tofauti saana na saloon nyingine kama kina Premio na nyingine.
2JZ ukiongezea turbocharger mbili hapo horse power inaweza ikaongezeka hata kwa 300 hpSaloon RS200 yenye engine ya 3S GE ina nguvu ya kutosha. Hasa manual nafikiri ni 210hp. Inakaribiana na yenye 2JZ yenye 215hp. Ila yenyewe mafuta inatumia vizuri zaidi.
Ni sport saloon. Yaani walivyoitune kuanzia gearbox inavyobadilisha gia, suspension system, tairi, seat ya dereva, uzito wa steering, ukiendesha unapata burudani. Unajisikia uko connected na gari na barabara. Hasa barabara yenye kona kona. Ni tofauti saana na saloon nyingine kama kina Premio na nyingine.....
una maoni gani kuhusu Supra.hii nimeona engine code wameweka ni 2JZ nadhani ndo ile ile 2JZ GE.(nirekebishe kama nimekosea hapo).cc ni 2990 ila wheel drive wameweka dash sijaelewa wamemaanisha nini.cheki hapo chiniNi sport saloon. Yaani walivyoitune kuanzia gearbox inavyobadilisha gia, suspension system, tairi, seat ya dereva, uzito wa steering, ukiendesha unapata burudani. Unajisikia uko connected na gari na barabara. Hasa barabara yenye kona kona. Ni tofauti saana na saloon nyingine kama kina Premio na nyingine.