Toyota Brevis na heshima zake

Halafu mnaomiliki Mercedes-Benz, Audi, Volkswagen na BMW mjini. 80% mnamtumia magari ya kutengenezwa China au Japan yakiwa under licence ya Mjarumani... Kumiliki gari ya mjerumani kabisa si mchezo, mjini yamejaa magari ya Japan na China.

Mercedes-Benz zinatoka China ndiyo wanauziwa watu huku, kuna kiwanda kule mjerumani anamiliki hisa 47% kama sikosei.

BMW, Volkswagen na Audi zote zinatengenezwa Japan ndiyo zimejaa huku mijini. Watu wanajisifu kumiliki gari za mjerumani original, kumbe zimeundiwa Japan na China.

Hamuwezi wakashifu wanaotumia Toyota ya aina yeyote


Hayo mengine sawa kujisifu, ila ukitaja kampuni za kijerumani tambua watu wananunua magari ya China au Japan. Ndiyo waliyojaa mashauzi mjini.
 
Kitu gani kitanitenganisha nawe, kama ni speed ni 220km/hr turbo, utafia barabaran ukiwa unaitafuta ilipopita viva vw
 
Kumbe kumiliki brevis inabidi ujipange kuanzia spare mpaka Mafuta,halafu nimeambiwa watu wanaziogopa sana,wanaogopa nini,je kwanini wenye brevis wanapenda kuwasha fog light-taa za chini kwenye bumper,mnatuumiza wenye babe walkers in town
Ni uoga tu, yaani ununue Gari 10M+ yakushinde mafuta, hizi ni roho za kimaskini, niko na gari CC 2000, nawazia chuma yenye cc 3500 ili nipate motive ya kutafuta pesa vzr, vijana tuache uoga wa maisha. Gari inakupersonalize wewe sasa ununue Gari ya house girl alaf uje ukutane na wanaume wenzio bila aibu.
 

Taratibu chief sio kila mtu anaagiza Japan aisee watu wanaagiza Singapore na Uk na gar zinafika nazo useme ni production ya Mjapan??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…